Mjadala: Jk alijiandaa kuwa rais au kufikia ndoto ya kuwa rais? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjadala: Jk alijiandaa kuwa rais au kufikia ndoto ya kuwa rais?

Discussion in 'Jukwaa la Historia' started by Karibuni masijala, Oct 14, 2012.

 1. K

  Karibuni masijala JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi naombeni hoja kwa mjadala huu.
  Leo nimemsikiliza MwL Nyerere hotuba zake pia mijadala iliyoandaliwa na vyombo vya habari wiki nzima kwa vipindi mbalimbali vikahitimishwa na masaa 4 Udsm na UDASA kumchambua MwL.

  Utendaji wake na mtazamo wake kwa Tanzania hata kwa vizazi vijavyo. Nimeamini alikuwa anajua alijiandaa kuwa zaidi ya Rais. Kutoa taifa hatua moja kwenda nyingine ya Matumaini na hata kuona taifa la miaka 50 ijayo lilinde Misingi aliyoamin ili lidumu.
  Kweli alifanikiwa historia mpaka hii 50 iishe itamkumbuka
  Jk mdogo\kijana nadhan ndoto yake ilikuwa ni awe rais hakuwa na la zaid ndo maana anashangaa yanayotokea mwaka wa 7 huu.Jambo la kihistoria hakuna ingawa alikuwepo wakati wa mwalimu.
  We una maoni gani alikuwa na la kuifanyia Tanzania baada ya kutimiza ndoto ya kuwa rais alitambua Tanzania na changamoto zake kama MwL atumie hiyo nafasi kutuonyesha njia kuzitatua kwani kuongoza kuonyesha njia; atakuwa na cha kuenziwa kama JkMwL alikufa matendo na Kauli ZINAISH na ni Update mpaka KESHO
   
 2. K

  Karibuni masijala JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mods usichanganye naomba uiache hii threat ijitegemee na naomba uiamishe kwenye historia ibaki kwenye jukwaa la siasa sio ndani ya sub jukwaa pia iwe inaonyesha imepostiwa tare 15 kwani nimeimaliza muda huu nj nilianza mapema kabla siku mpya
   
 3. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Tatizo lako kubwa hujui kujieleza/kujenga hoja. Hoja zako ni 'disjointed'. Angalia kichwa cha mada yako hapo juu. Nini maana yake?
   
 4. N

  NSENGONY New Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :juggle: Hapa yaonyesha nawe wataka kuonekana mwema kwa huyu jamaa, sio hivyo tu ila huelewi ni nini unachokizungumzia. huyu jama hana jipya lolote kwenye uongozi wake zaidi ya kucheka ili kukusanya idadi ya wanawake:A S 465:
   
Loading...