Jukwaa la Historia

On JF:

Na Ahmed Rajab TWAYIB! Imeingia Ramadhani na tupo barazani. Sijui kwanini Ramadhani hii inanikumbusha ya 1964 mwaka ulioiweka njia panda historia ya Zanzibar. Mapinduzi yalikuwa bado mabichi...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Carl Peters (27 Septemba 1856 - 10 Septemba 1918), alikuwa mtawala wa kikoloni wa Ujerumani, mvumbuzi, mwanasiasa na mwandishi na muasisi mkuu wa koloni la Ujerumani la Afrika Mashariki (sehemu ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Na Ahmed Rajab TWAYIB! Imeingia Ramadhani na tupo barazani. Sijui kwanini Ramadhani hii inanikumbusha ya 1964 mwaka ulioiweka njia panda historia ya Zanzibar. Mapinduzi yalikuwa bado mabichi...
8 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza paka huyu aliyekuwa na rangi nyeusi na nyeupe alikuwa anamilikiwa na mwanajeshi wa Ujerumani Bismarck, na alikuwepo katika safari ya meli ya Ujerumani ya mei 18, 1941 wakati...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Jean-Paul Charles Aymard Sartre Mwandishi na mwanafalsafa kutoka nchini Ufaransa aliwahi kuandika kumuhusu Ernesto "Che" Guevara, kwamba; “ not only an intellectual but also the most complete...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
K’naan (KEINAN ABDI WARSAME) ni msanii kutoka CANADA na pia ni mzaliwa wa SOMALIA mjini Mogadishu. Watu wengi wanamtambua kwa nyimbo yake maarufu ya waving flag ambayo aliitunga kwaajili ya...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
SAFARI YAKE YA KWANZA NJE YA NCHI By Livino Ngalimitumba Haule (Lingaha) Nelson Mandela akiwa mwanaharakati wa kupigania uhuru wa watu weusi wa Afrika Kusini toka kwa serikali ya 'mkaburu.'...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
SHEIKH HASSAN BIN AMEIR (1880 - 1979) NA WAISLAM WA BURUNDI ''Waislam walipoona juhudi zao zote hizi zinagonga ukuta wakaona waombe msaada kwa kutoka kwa ndugu zao Waislam wa Tanganyika kupitia...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Kaisari Nero anajulikana kwa ukatili mkubwa aliowafanyia watu alikuwa akiogopwa Sana na watu wake Kaisari Nero Kwanza alimuua mama yake afu akamuua mke wake .mwaka 64 A.D. alisabisha Moto...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Abishai alikuwa mtoto wa Seruya dada yake Daudi. Pia alikuwa kaka wa Yoabu na Asaheli. Abishai ni moja kati ya wale mashujaa watatu ambao walikuwa mashuhuri kuliko wale thelathini. Katika Biblia...
8 Reactions
14 Replies
5K Views
Mchungaji maarufu duniani anayetokea katika taifa la Nigeria TEMITOPE BALOGUN JOSHUA alimaarufu kama TB JOSHUA ameamua kufunga na kupanda milimani kwa ajili ya maombi maalumu kuombe janga la...
3 Reactions
67 Replies
8K Views
Je, wajua kuwa Japan wanalo onyesho la uume 😌 maonyesho haya yanajulikana sana kama "KANAMARA MATSURI" ikimaanisha onyesho la kuiba uume huwa yanaonyeshwa kila mwaka mwanzoni mwa mwezi wa nne kila...
11 Reactions
34 Replies
11K Views
Huku tukiendelea kujikinga na Corona nimeona kidogo tujikumbushe historia kidogo ya hii Vita maarufu huko barani ulaya .chanzo Cha Vita ni kushindwa kwa mkutano wa amani(An important cause of the...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakati wa uhai wake Kim Jong-il baba mzazi wa Kim Jong-Un, Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini alioa wanawake wawili ambao ni Hong Il-chon na Kim Young-sook. Lakini aliishi kinyumba na wanawake...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari zenyuu wakuu Matumaini yangu mko wazima wa afyaa Tukiwa tunasubiri uzinduzi wa kiwanda kingine Moja kwa moja kwenye mada:Leo katika kusikiliza idhaa ya kiswahil Dw, (Dunia yetu leo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa mnamo tarehe 26 Aprili, 1964 kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (inayojumuisha Visiwa vya Pemba na Unguja). Tanganyika ilikuwa ni...
1 Reactions
3 Replies
13K Views
#HISTORIA Ya Afrika Ina Mengi Sana, Moja Ya Maandiko Ni Juu Ya Ujio Wa Jamii Za Kigeni, SEWA HAJJI Ni Mmoja Kati Yao Ni Mtu Pekee Aliyethamini Utu Wa Mtu Ambae Hakujali Dini Au Rangi Ya Mtu...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Ilikuwa kama ni sheria nyumbani kwetu kuwa chakula cha jioni tujumuike sote kula na baba mezani na si kama nyumbani kwetu kulikuwa na watu wengi. Mtoto nilikuwa mimi peke yangu na ikiwa hakuna...
11 Reactions
19 Replies
6K Views
Kuchunguza 'janga la kicheko' la 1962 "Utafiti wa Christian F. Hempelmann." Katika maadhimisho ya miaka 40 ya Mlipuko wa Kucheka kwa Tanganyika ya mwaka wa 1962, mgombea wa udadisi wa lugha ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…