Jukwaa la Historia

On JF:

SPUTNIK-1 SATELLITE YA KWANZA DUNIANI Na Thabit Karim Muqbell Sputnik-1, Rus: Спутник-1, Eng: Satellite-1. Mwaka 1957 Historia ya teknolojia ilibadilika na dunia ilisimama pale USSR...
5 Reactions
14 Replies
6K Views
Magufuli kaminya upinzani mpaka unapotea kweli 😢😢 Imagine HAKUNA mbunge wa CCM aliyewahi kusumbuliwa na police, ila wangapi viongozi wa upinzani wamekuwa harassed na police? Mnajua effect yake...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
WAMAREKANI LEO WAKIKUMBUKA MKASA WA JAMES MEREDITH WANATINGISHA KICHWA NASI TUTATINGISHA TUTAKAPOKUMBUKA NEC/ZEC NA WIZI WA KURA Mississipi ni Kusini na Kusini ndiko kulikoshamiri utumwa wa mtu...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
FAHAMU HESHIMA NA HADHI YA SHEIKH PONDA KATIKA NYOYO ZA WAISLAM ''Allah ni Mjuzi Allah na ni Mbora wa kulipa. Sheikh Ponda utayakuta malipo yako kwa Allah yakiwa makubwa kwa subra na...
7 Reactions
28 Replies
5K Views
Mtawala wa mwisho wa Zanzibar kwa mfumo wa ufalme ambaye alichukuliwa Uiengereza kwa madai ya kupinduliwa leo ametua nchini Oman kutokea London ikiwa ni mara yake ya mwanzo tangu azaliwe miaka 91...
8 Reactions
107 Replies
17K Views
KWAO CASTRO ALIKUWA CUBA NA CUBA ILIKUWA CASTRO. Na.Comred Mbwana Allyamtu Thursday -30/8/2018 Fidel Alejandro Castro Ruz alifariki usiku wa saa 4:29 siku ya tarehe 25/11/2016 huko Havana Cuba...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu mtandaoni nimewahi kukutana na watu wengi wakilalamika kuhusu kufichwa kwa historia halisi ya Afrika na kufundishwa historia ya wakati wa ukoloni jambo hili nililipenda sana...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Fimbo ya Rais wa zamani wa Kenya, Hayati Daniel Toroitich Arap Moi ilijulikana sana kama ishara ya nguvu, uongozi na mshikamano wa kitaifa. Fimbo hiyo liyotengenezwa kwa pembe za ndovu na...
6 Reactions
13 Replies
7K Views
Wengi tumeshuhudia katika mitandao tarehe 16 Oktoba, 2019, vinyago vya kustaajabisha sana kwa mtu yoyote ambaye anao uwezo wa kutumia akili yake vizuri. Tumeona ya mtu mmoja kavaa mavazi ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
SHEIKH PONDA ISSA PONDA NA UCHAGUZI WA RAIS 2010 Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 nilikuwa naishi Tanga na ikawa nimekuja Dar es Salaam. Nimekutana na Sheikh Ponda Msikiti wa Manyema baada...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Wengi wanapenda kulaumu "Waarabu" au "Wazungu" waliowatendea Waafrika vibaya kwenye siku za utumwa. Si wengi wanaozingatia haikuwa kawaida kwa hao wageni "kuwinda" watu (ingawa ilitokea hapo na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Inaelezwa kuwa huu ni moja ya wimbo mkubwa zaidi wa kueneza propaganda iliyowahi kutengenezwa Afrika na Duniani kwa ujumla. Wimbo huu uliimbwa na Mwanamuziki Nguli wa Muziki wa Rhumba kutoka...
8 Reactions
25 Replies
7K Views
Leo nimeshuhudia OCD wa WIlaya ya Hai akisindikiza Mitihani kuelekea Moshi na kingora, Wapo wa chini yake kama OCS, OCCID ha hawa wasaidizi wake wote wana wasaidizi wao wenye nyota 1 hadi 2 pia...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Balozi Abbas Kleist Sykes juma hili tarehe 4 September amefikisha umri wa miaka 90. Kwa kipimo chochote kile ni kuwa Allah kamjaalia umri mrefu na tunamuombea maisha marefu na afya njema. Katika...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
FROM HIS OWN WORDS - YOWERI KAGUTA MUSEVENI, the President of UGANDA. " We were gaining ground of Kampala, lead by Colonel Mahfoudh and we three of us, Me, Major Marwa and Major Isonda IN A...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
KATIKA sehemu ya kwanza tulizungumzia kidogo namna Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) lilivyoshiriki katika mapambano ya kuzikomboa nchi za Afrika. Baadhi ya Watanzania ambao walijitoa kikamilifu...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
KITABU KIPYA: UISLAM ULIVYOINGIA UCHAGGANI Rajabu Ibrahim Kirama alikuwa mtoto mdogo wakati Wamishionari wanaingia Kilimanjaro baada ya Mkutano wa Berlin mwaka wa 1884 na Wajerumani wakaingia...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwasasa imekua lugha inayotumika kwenye mambo maalumu tu, je kuna ubaya nikisema hii lugha imekufa?, kama ulikua hujui kuwa lugha inakufa ndio ujue leo, wataalam wa lugha wanaweza kuelezea lugha...
9 Reactions
79 Replies
15K Views
Watu watano muhimu sana katika historia ya uasisi wa CCM ni hawa: 1: Mwalimu Julius K. Nyerere 2: Sheikh Aboud Jumbe 3: Sheikh Rashid M. Kawawa 4: Sheikh Thabit Kombo 5: Mhe. Pius Msekwa Inabidi...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Ilikuwa mwaka 1964 jamaa mmoja anaitwa . Edward Makuka Nkoloso , alitaka kuwapeleka wazambia 15 pamoja na paka wake, kwenye sayari ya Mars, Hilo kundi kulikuwa na wahubiri ambao kazi yao ilikuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…