Jukwaa la Historia

On JF:

Mzee Kissinger Nimefika kwenye walima wa harusi ya bint wa ndugu zangu akina Tambaza aliyenipokea Sheikh Ali Sindo. Uwanja umejaa lakini badala ya kunitafutia mahali pa kukaa ananipeleka kwa...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu habari ya muda huu, ni matumaini yangu kuwa mpo salama mkiendelea na shughuli za ujenzi wa Taifa. Kwa wale wenye matatizo ya hapa na pale nawaombea kwa MUNGU awafanyie wepesi ili mfanikiwe...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Nimeona niulize swali hiyo kwenye ukurasa huu wa Historia pengine kuna watu walionizidi umri kama kina mzee Mohamed Said wanaweza kuchangia
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Mzee Kissinger huniambia, ''Wewe Mohamed mimi nimekusomesha wapi?'' Mimi huwa simjibu kitu nashukuru na kama nimefuata kujua kitu kutoka kwake nitamuuliza na palepale mwalimu wangu ataniangusha...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Rafiki yangu Salum Matimbwa ametukumbusha baba yetu Mzee Kitwana Selemani Kondo. Kanirudisha nyuma mbali sana. Namkumbuka Kitwana Kondo na Peugeot yake 404 rangi ya kijani ameiegesha pembeni...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia ilikuwa vita iliyopigwa kuanzia mwaka 1914 hadi 1918 . Mataifa wapiganaji yalikuwa Ujerumani, Austria-Hungaria , Bulgaria na Uturuki (ziliitwa "Mataifa ya Kati", ing...
2 Reactions
20 Replies
15K Views
MAZUNGUMZO NA MAUREEN MINANAGO WA TBC KITABU CHA JUDITH LISTOWEL ''THE MAKING OF TANGANYIKA'' (1965) Kesho Jumatatu Insha Allah saa tatu na nusu asubuhi Maureen Minanago katika kipindi, ''Kurasa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
PICHA KUTOKA GAZETI LA MAMBO LEO LA MWAKA WA 1934 WATAZAME MANGI WALIOPAMBANA NA RAJABU KIRAMA - MANGI NGILISHO NA SHANGALI Katika kitabu cha Rajabu Ibrahim Kirama Mangi wa Kibosho Ngilisho Sina...
13 Reactions
89 Replies
15K Views
NATAMANI KUFUKUWA MAKABURI - part X Maalim Salim Kombo Saleh (ZPPP) Mbunge wa Jimbo la Tumbe, Pemba katika serikali ya uhuru alikuwa waziri wa sheria na mambo ya ndani wa Zanzibar. Mwaka 1994...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kaole, mji wa zamani wa Bagamoyo una mambo mengi ya kustaajabisha ikiwemo kisima cha ajabu chenye miaka zaidi ya 800. Uajabu wa kisima hicho ni kuwa maji yake hayapungui bila kujalisha kipindi...
5 Reactions
31 Replies
11K Views
BURIANI SHEIKH AHMED HAIDAR Sheikh Ahmed Haidar... Mtoto wa Sheikh Haidar Mwinyimvua mmoja wa wapigania uhuru wa Tanganyika na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya TANU. Sheikh Ahmed Haidar mtu mwenye...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
''WAMATUMBI WANAVAA KANIKI TU'' Jana rafiki yangu Abdallah Said Hancha katika shughuli zake za utafiti kaniletea picha iliyokuwa na ''caption'' - ''Wakubwa wa Moshi'' iliyokuwa katika gazeti la...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Heshima mbele waikuu hapa JF. Tangu nikiwa mdogo na mpaka sasa nimemaliza miaka 3 sasa nasikia baadhi ya watu wakisimulia habari kuhusu mtu mmoja aitwaye Otango Osale, tafadhali wakuu mwenye...
0 Reactions
49 Replies
29K Views
Kijana mwenye umri wa miaka kumi aliketi ametulia akisikiliza kwa makini hotuba yake ya kwanza katika Kanisa la Waadventista wa Sabato. Mhubiri alieleza kuhusu mfanyakazi wa Posta ambaye alipokea...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
KUKUTANA KWANGU NA "DEEP THROAT" WA MADINA, HANDENI 2014 Angalia hiyo picha hapo chini. Picha hii nimeipiga miaka saba iliyopita siku kama ya leo. Picha imeanza kwenye ndevu kuja chini hakuna...
9 Reactions
42 Replies
6K Views
Haya ndio yale tunayosema "utumwa maomboleo" angalia tulijifunza kuwa kilimo cha chai kipo Sri Lanka lakin ukienda pale mufindi iringa unakuta wahehe,wabena,wakinga wanalima chai,tukasoma kuwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hashil Seif ameifanyia hisani kubwa sana historia ya Zanzibar kwa kueleza uongozi wa Abdulrahmani Babu katika kupigania uhuru wa Zanzibar na katika kuweka msingi wa mapinduzi. Hashil Seif anasema...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
MLIMA KILIMANJARO KAMA ULIVYOSANIFIWA KATIKA KITABU ''RAJABU IBRAHIM KIRAMA JEMADARI WA VITA KUWA JEMADARI WA UISLAM'' ''Mlima Kilimanjaro unaonekana muda wote; ikiwa hakuna mawingu; tokea Moshi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom