Hii makala niliiandika siku kama ya leo mwaka jana. Leo niko hapa najibu maswali kuhusu Abdul Sykes. Ndugu zangu hebu someni hayo makala hapo chini:
TAHARUKI YA BI. MUGAYA NYANG'OMBE NA WANA...
mimi mutwa mukulu nawakilisha kizazi cha dot com. nikiwa shule ya msingi ilembula njombe kwa mzee nyimbo, nilibahatika kusoma baadhi ya vitabu vya zamani kwani kijiji kile watu walianza kusoma...
Rasputin with his wife and daughter Matryona (Maria) in his St. Petersburg apartment in 1911
Rasputin ni mzaliwa wa Urusi, alikuwa mshika dini sana na alijitangazia uwezo wa kuponya magonjwa...
Kuna baadhi ya vifungu kwenye Bible uki connect dott unapata picha tofauti kabisa kuhusu Dini.
Wakati wa Biashara za watumwa, Watumwa walivyo kuwa wanafika kule hawakuruhusiwa kujifunza kitu...
Hili Jambo limekuwa likinitatiza sana hasa nchini Misri na Israel.
Kumekuwa na mtindo wa kufukua makaburi ya watu wa kale kwa kisingizio cha kufanya tafiti za kihistoria.
Hivi hao watu...
Siti binti Saad alizaliwa katika kijiji cha Fumba, Zanzibari mwaka 1880. Alipozaliwa alipewa jina la 'Mtumwa' hii ni kwa vile alizaliwa katika kipindi cha utumwa wa Kiarabu. Jina la Siti alipewa...
By Malisa GJ
Wakati wa uhai wake Kim Jong-il baba mzazi wa Kim Jong-Un, Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini alioa wanawake wawili ambao ni Hong Il-chon na Kim Young-sook. Lakini aliishi kinyumba na...
2003 INVASION OF IRAQ: Kanisa Katoliki Vatican na ushawishi wake juu ya msamaha kwa Waziri Tariq Aziz. Mkristo kindakindaki na swahiba mkuu (Inner Circle) wa Saddam Hussein.
Waziri wa zamani wa...
Aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zambia mzee Kenneth Kaunda amefariki dunia katika hospitali ya jeshi mjini Lusaka, alikokuwa amelazwa kutokana na kuumwa. Kuumwa na kuaga dunia kwa Mzee Kaunda, sio tu...
‘Seppuku’ au ‘Harakiri’ inamaanisha “kukata tumbo kwa kisu”, hii ni aina ya tamaduni ya kujikafiri kwa kujikata na kulichana tumbo kwa kisu iliyokuwa ikifanyika Japan ya kale. Mila hii ya kikatili...
Alizaliwa tarehe 10.7.1951
Elimu
Alisoma shule ya msingi ya Mawenge Middle School mwaka 1961 hadi 1964
1965 hadi 1965 St. Francis College Pugu
1969 hadi 1970 Shinyanga Secondary ‘’A’’ Level
1971...
TIMU YA TANGANYIKA GOSSAGE CUP 1961
Majina ya wachezaji wote na maelezo ya ziada kayatoa John Limo baada ya kumfikishia hii picha.
Tumshukuru kwa kutufanyia hisani hii:
Kutoka kushoto: Henrick...
KENNETH DAVID KAUNDA NA ALLY KLEIST 1953
Leo Kenneth Kaunda katimiza miaka 97.
Nimeangalia picha ya Kenneth David Kaunda na picha hii ikanikumbusha uhusiano wa Kaunda na Ally Kleist Sykes wakati...
Mpaka mtoto afikishe miaka miwili + ndiyo anaweza kutambua kuwa anahitaji haja kubwa au ndogo hapa ndipo anafundishwa kujistiri.
Enzi tuna vaa magome ya miti watoto walitunzwaje ili kinyesi...
+ Katika Vitabu maarufu vya historia vinavyotolewa na "UNESCO World Heritage" kuna Makala ambazo huwa zinahusu orodha ya miji mikongwe ambayo mpaka leo inakaliwa na watu (List of oldest...
Siku moja nimepita ofisini kwa Bwana Ally Sykes na katika mazungumzo yetu akaniambia kuwa alikuwa siku ya pili anasafiri anakwenda London.
Palepale ikanijia fikra nimpe Bwana Ally makala yangu...