Jukwaa la Historia

On JF:

MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA TIPPU TIP KUTOKA KWA HAMISI DELGADO Leo nimepokea kitabu, "Tippu Tip: Ivory, Slavery and Discovery," kutoka kwa rafiki yangu Hamisi Delgado. Nimebahatika kuingia ndani...
1 Reactions
3 Replies
205 Views
Waliosema ukiachana na pesa, kitu kingine 'kinacho-run Dunia' ni mapenzi, wanathibitisha hili katika kisa hiki kifupi cha mapenzi. Pichani, anaonekana msichana mdogo akiwa ameketi chini na wazazi...
3 Reactions
6 Replies
354 Views
Tunaposema Tanzania Hatumaanishi Watu Tu Bali Tunaenda Mbali Na Kuangalia vilivyomo pia. Kulinda Tanzania Sio Tu Namna Tujuavyo Tutambue pia mchango Wa Wengine Ambao wao Hawajiwezi Katika...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Ibrahim Mohamed Bashe "Mshindi hahitaji kuwa na nguvu kuliko aliyeshindwa. Anahitaji tu kuwa na utayari wa kustahimili zaidi." Ibn khaldun karne ya 14. "Binadamu wote ni viungo vya mwili mmoja...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
HISTORIA FUPI YA KABILA LA WAMAKONDE Kama ulikua hujui chanzo Cha Wamakonde kuweka NDONYA na kuchanja CHALE wacha nikufahamishe;- Wamakonde ni kabila linalo patikana katika wilaya zote...
5 Reactions
36 Replies
6K Views
Bob Marley, while having mixed ancestry with a white father and a black mother, self-identified as a black African and embraced Pan-Africanist ideals throughout his life.
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Yupo ajuaye kitabu hiki kinafundisha nini?
1 Reactions
0 Replies
117 Views
https://youtu.be/XPUzrHfjH2s
2 Reactions
2 Replies
164 Views
Edward Festus Mukuka Nkoloso (1919 – 4 March 1989) Edward Festus Mukuka Nkoloso alikuwa mwalimu, mwanaharakati wa uhuru, na mtu mashuhuri kwa wazo lake la kipekee la kuanzisha programu ya anga za...
1 Reactions
6 Replies
401 Views
Wajerumani walitawala Tanganyika kwa kama miaka 20-30 hivi. Walifanya mambo mabaya na mazuri katika utawala wao huo mfupi. Walifanya mazuri kama kujenga reli ya Usambara kutoka Tanga kuelekea...
7 Reactions
47 Replies
1K Views
02 December 2022 Exclusive Interview With Mama Cecilia Tamanda Kadzamira, Former First Hostess of Malawi https://m.youtube.com/watch?v=4zOUbpK945o Cecilia Tamanda Kadzamira, GCVO (amezaliwa 25...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Tarehe 26/4/2019 ni maadhimisho ya Muungano wa Tanzania. Tukio la kitaifa linalochagizwa siku hiyo ni mkutano wa Mh Rais na Wananchi wa Mbeya katika uwanja wa Rwanda Nzovwe. Katika kudadisi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Zanzibar kuna wenyeji wengi hasa Kaskazini Unguja, Tanga, Pangani, Mombasa nk. hujinasibu kuwa wao ni Washirazi. Kuna wakati kule Mombasa walikuwa wanaitwa wageni na wengi ilibidi wajichanganye...
7 Reactions
50 Replies
19K Views
https://youtu.be/rXVVWfMv5wo?si=90SAmzHTuVpYN8ek
0 Reactions
0 Replies
155 Views
https://youtu.be/f6beN4JdXVA?si=Sbk9dfUl2C4IZ6ek
4 Reactions
21 Replies
528 Views
MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA VASSANJI KUTOKA MAREKANI Kwa wale waliokulia Kariakoo ya miaka ile akisoma kitabu chochote cha Vassanji ataiona ile Kariakoo ya enzi zetu na yote yaliyokuwapo miaka ile...
5 Reactions
14 Replies
326 Views
Historia ya Iran Iran ni taifa la kihistoria kuliko hata Marekani, ingawa pia Marekani pia ni taifa la kinabii, kwa wakati mwingine tutakuja kuona siri ya Marekani na mwisho wake. Iran kibiblia...
12 Reactions
31 Replies
10K Views
BAADA YA ZAIDI YA MIAKA 50 NIMEKUTANA NA RAFIKI YANGU WA UDOGONI SALUM "GORDON WEST" KHALIL Nimesimama nje ya Masjid Maamur tumetoka kwenye Akid ni baada ya swala ya Isha na kuna msongamano...
5 Reactions
6 Replies
283 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…