Jamani huyu mheshimiwa yuko wapi? Mbona kimya.
Hata hashirikishwi kwenye issue za CCM kulikoni?
KAWAWA sometimes huwa anashirikishwa why not JUMBE? Or is there any wrong doings alizofanya au he...
Rest in peace legend,
Uliuwawa kwa kuwa haukuvumilia mkuu wako kuendelea kufanya u-pedophile na ufuska hadi kuharibu image ya njia mnayotumia wote.
Walikuua kwa ajili yake na madhambi yake
Hii makala nimeikuta kwenye page moja katika mtandao wa Facebook imeandikwa na mtu anayeitwa Khatibu Imran Abuu Khalil, imenivutia ndio maana na share na nyinyi hapa jukwaani.
Katika miaka ya...
MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA TIPPU TIP KUTOKA KWA HAMISI DELGADO
Leo nimepokea kitabu, "Tippu Tip: Ivory, Slavery and Discovery," kutoka kwa rafiki yangu Hamisi Delgado.
Nimebahatika kuingia ndani...
Brenda Nokuzola Fassie (anayejulikana kama MaBrrr) alikuwa nguli wa muziki kutoka Afrika Kusini, mtunzi, na mwanaharakati aliyetawala sanaa ya muziki kama "Malkia wa Pop wa Kiafrika". Maisha yake...
Kulingana na chanzo kipya kuhusu magwiji wa soka walioachwa, simulizi ya Mohamed Said inamwangazia John Robert Limo (John Limo), mchezaji hodari wa miaka ya 1960 aliyekuwa akicheza timu ya TPC...
Kwenye simulizi ya Mohamed Said kuhusu kukutana kwake na Profesa Ahmed Mohiddin nyumbani kwake Kikambala, Mombasa, kuna maelezo ya kusisimua kuhusu tepu za hotuba za Mwalimu Julius Nyerere.
Hizi...
Mwalimu Nyerere akisukuma gari pamoja na watu wengine
"USIMUONE VILE KAMBARAGE ANA KIBEGA"
Dossa Aziz
Picha hiyo hapo juu inanikumbusha Jumapili moja miaka mingi iliyopita tumekaa barazani...
Titi Mohammed Salum Mandangwa kazaliwa katika familia ya dini haswaa, lakini kapita vikwazo vingi. Amezaliwa 1926, Dar es Salaam na kufariki Johannesburg, RSA katika hospitali ya Net Care, Novemba...
Katika miaka ya mapema ya 1930, elimu katika baadhi ya maeneo ya Louisiana ilipatikana kwa njia ya maji.
Kwa sababu barabara zilikuwa mbovu au hazikuwepo kabisa, watoto wa wavuvi, wakata miti, na...
ASILI NA KOO ZA BANANTUZU AU WANYANTUZU.
Utangulizi.
Wanyantuzu au Banantuzu hawa ni kundi la Wasukuma wa Mashariki ya Usukuma, wanaofahamika kama Bana-Kiya au Wanakiya.
Bana-Kiya au Wasukuma...
Kisha tatizo dogo likatokea kwenye koo lake.
Ndani ya miezi michache, Kaizari alikuwa hawezi kabisa kuongea.
Na madaktari wake hawakuweza hata kukubaliana ni ugonjwa gani waliokuwa wanakabiliana...
Wadau nimeona nianzishe uzi kwaajili ya kumbukumbu zetu. Sisi tuliosoma miongo mitatu iliyopita mtakumbuka baadhi ya vitabu ambavyo vilikuwa na masimulizi ya kuvutia yaliyobeba ujumbe kwaajili ya...
Freedom and unity
Freedom and socialism
Freedom and development
Poverty is bad but poverty in thoughts is worse
Source: Personal development
How Mwalimu Nyerere was heavily influenced by John...