Jukwaa la Historia

On JF:

Mwanamke mmoja wa miaka 40 wa huko marekani aliyekua akifanya kazi ya kupiga deki na kusafisha hotel moja ijulikanayo kama LAS VEGAS HOTEL, Aliibia kondom iliyotumiwa na bilionea mmoja...
0 Reactions
0 Replies
506 Views
Siku hizi naandikiana sana na vijana na kwa kweli wakati mwingine nausudu staili zao za uandishi. Nikawasahihisha kwa kuandika, ''nafikaga,'' wananijibu. ''Mzee hebu ''relaksi,'' kidogo kwani...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=pfbid021wQTsF7mr6phhY7W5EPrVDpeSTaVuJYrf7eFMVih2H5fyzN3qpFRdcLjp7oMiv2Hl&id=100022121633704 ALL WORK AND NO PLAY MAKES JACK A DULL BOY Zamani kidogo...
2 Reactions
1 Replies
482 Views
Buhaya we should rule ourselves and live like the developed countries and there won't be shame like there is today. Je, umewahi kusikia watu wakisema kanyigo ni ULAYA ndogo? Utangulizi. Mji...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
MAULID YA SHARIFF IDARUS STAND YA MBOYA MOSHI USIKU HUU Hivi punde nimepokea picha za kupendeza kutoka za Maulid ya Shariff Idarus kutoka kwa rafiki yangu. Maulid haya yanayosomwa Moshi Stand ya...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Gloomy Sunday (Jumapili ya Huzuni) ni wimbo uliotungwa na Rezso Seress (Rudi Spitzer), msanii kutoka nchini Hungary mwaka 1933. Reszo alitunga maneno ya wimbo huo na kupiga mwenyewe ala ya huzuni...
21 Reactions
136 Replies
28K Views
1. Saladin 2. Shaka 3. Napoleon Bonaparte 4. Attila the Hun 5. Genseric the Vandal 6. Alexander the Great 7. Charlemagne 8. John Okello 9. Chris Hani 10. Hannibal 11....
4 Reactions
104 Replies
15K Views
Tundu lisu Hawezi akawa Rais wa Nchi hii ya Tanzania, Hata Kama angezaliwa kabla ya Uhuru na kuwepo wakati huo na ikatokea uchaguzi ,bado Lisu asingepewa nafasi ya kuwa Mkuu wa nchi hii ya...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Rafiki yangu kanitupia clip ya Clint Eastwood. Nami nikamwandikia maneno haya: Guy umenipeleka Empire Cinema Afternoon Show Guy zikizimwa taa movie ikianza mimi nakuwa nishaondoka Dar es Salaam...
1 Reactions
1 Replies
627 Views
Marehemu Bi. Halima Selengia aliyefariki dunia mwaka wa 2013 akiwa na umri wa miaka 94 alikuwa kati ya waasisi wa TANU mwaka wa 1954 na mmoja wa wanawake waliokuwa mstari wa Bi. mbele katika...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
ZUMARI TV AZAM: KIPINDI MAALUM CHA MALKIA ELIZABETH (1926 - 2022) JAFFAR MPONDA NA MOHAMED SAID LEO USIKU SAA TATU Picha ya kwanza Malkia Elizabeth 1953. Picha ya Pili barua ya viongozi wa TAA...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
AKILI INAPOKATAA KUAMINI NA KUUKUBALI UKWELI Kaniandikia: "MMS kila mara unapoandika UISLAM ndipo unapochefua watu. Ubongo wako umekataa kulikubali hilo, nami nakuacha kama ulivyo. Lakini ujue...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Dudu kaandika hayo hapo chini na mimi nimeona nifungue uzi mpya niweke maelezo katika hayo maneno yake ili kusahihisha makosa ya historia ya TANU ambayo yamekuwa yakijirudia sasa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
KIFO CHA BALOZI PAUL RUPIA: DAR ES SALAAM TUMEFIWA Sidhani kama kuna mtu ana ujasiri wa kunyanyua kalamu yake pale Abdallah Tambaza atakapoandika historia yoyote inayuhusu Dar es Salaam iwe...
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Kitu kimoja nilicho na hakika nacho kwa asilimia 100% ni kwamba wale wote wenye mapenzi ya kweli kwa taifa letu la Tanzania wanasita sana kuchangia hii hoja inayofinyangwafinyangwa na huyu...
71 Reactions
3K Replies
280K Views
SIKUMFAHAMU MAREHEMU MWALIMU ZUBERI WAZIRI NYUNDO LAKINI ATAISHI NDANI YA MOYO WANGU Kwa kawaida taazia haijibiwi. Ukishamaliza kusoma unamtakia maghufira marehemu. Nimesoma taazia aliyoandika...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
KITABU KIMESHEHENI Mtunzi Mohamedi Bushiri @Dedesi Baba Wawili Nimepiga mahesabu, Kalamu kushikilia. Niunganishe irabu, Shairi kujitungia. Dedesi ni aghalabu, Maneno anapatia. Kitabu kimesheheni...
4 Reactions
6 Replies
675 Views
KWA NINI WANABABAIKA NA HISTORIA YA AFRICAN ASSOCIATION ILHALI ILISHAANDIKWA? Jana na ndiyo post yangu ya jana ipo hapo chini nilionyesha makosa ya yaliyopo katika historia ya African Association...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
AFRICAN ASSOCIATION ILIASISIWA MWAKA GANI NA NANI WAASISI WAKE? Kuna kijana kaniandikia anaomba maoni yangu kuhusu aliyosoma katika kitabu hicho hapo chini "Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom