Wakuu habari, poleni na majukumu.
Kuna hizi scholarship zinazotolewa na Tume ya nguvu ya Atom Tanzania (TAEC) kupitia Raisi Dkt Samia Suluhu Hassan (Maelezo zaidi yapo katika tovuti ya...
Wakuu chuo gani Cha veta hapa Tanzania wanafundisha kozi fupi ya steel fixing/USUKAJI WA nondo na ada yake ni kiasi gani?
NB:Kama Kuna sehemu wanafundisha hata kama sio veta naomba mnielekeze...
Nimekuwa nikipiga kelele humu JF serikali ianzishe kitu kinachofanana na EWURA kwenye maji na nishati kwa masuala ya ELIMU lakini serikali imekaa kimya kwa kuwa miradi hii ya shule binafsi ni ya...
Ukijua kutumia CHATGPT, GEMINI na google scholar, utaweza kuandika research project au thesiss yoyote kwa urahisi.
Lugha nzuri za ki academic, translations kwa lugha yoyote, mpangolio nzuri wa...
Wakuu hawa watoto wetu si watavunjwa mabega dogo ameanza shule leo darasa la kwanza masomo nane.
Yaani madafutari 8+ vitabu 8 jumla kumi na sita vyote anatakiwa avibebe kwenye bag, dogo ana miaka...
Aisee hizi selection za ajabu sana, mwanangu Ako na A zooote na amepangwa shule ya changanyikeni tu na amemaliza shule ya serikali, japo Kuna wenzake unakuta Wana A nne lakini wapepangwa shule...
JamiiForums tupazieni sauti wanafunzi wa vyuo tunateseka hadi sasa hivi hatujapata boom la pili, hali ni mbaya, kula shida, madeni kila mahali hadi watu tunaona maisha magumi na wengi wetu hatuna...
Wakuu naomba mwenye ujuzi anijuze njia zipi unaweza kutumia kukuza GPA kama ukimaliza na GPA ndogo. na pia nataka nijue ukimaliza chuo na GPA chini ya 3 unaweza kupata kazi
Wakuu kuna mshikaji ananiambia anasoma chuo cha uhasibu (TIA) pale mitaa ya Temeke,ila mara nyingi usiku ndio anakuwa chuo,je pale wanasoma usiku?
Na vigezo vyake ili mtu ajiunge vipoje?
Nataka...
Hello wana jf
Husika na kichwa cha uzi hapo juu
Kwa ninavyofahamu post graduate education/degree ni elimu zote anazochukua mtu baada ya shahada ya kwanza mfano ni Masters degree
Lakini nasikia...
Wakuu naomba msaada tafadhali kwa mtu ambaye yuko kwenye payroll ya serikali mwenye degree ya udaktari akienda kuchukua masters ya public health vp kuna namna yoyote mshahara unaongezeka?
Msaada...
Bado nashindwa kuelewa kwanini serikali bado inapata kigugumizi kuamua tuu kingereza kiwe lugha ya kufundishia kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu ili kuendana na teknolojia na ulimwengu. Je...
Wana JF mimi si mwandishi mzuri kwa sababu niliishia na 5B, lakini ningependa tujadili suala fulani kuhusu elimu.
Toka serikali ijipange kwamba inabadilisha mtaala watoto primary watasoma kwa...