Natumai mko poa sana,
Ki umri ni kijana wa makamo (early 30s) mwajiriwa na serikali yetu Tukufu ya Jamuhuri. Kwa elimu ni graduate wa chuo kikuu.
Katika safari yangu ya maisha nimepitia mengi...
Habari za mchana wana forum, mimi ni mwanafunzi ninaye tegemea kumalizia degree yang ya kwanza katika chuo cha Sua katika bachelor of Science in Agricultural Economics and agribusiness mwaka...
Naandika hii habari kwa masikitiko makubwa,kama tunakumbuka miezi kadhaa iliyopita Serikali ilifanya zoezi la kuhamisha walimu kutoka shule moja kwenda shule nyingine huku wakisema kwamba hilo ni...
Jana 9-10-2017, katika kipindi cha “This Week in Perspective” – TBC – kinachoendeshwa na Adamu Simbeye, waliongelea kuhusu Vitabu Vibovu vilivyoandaliwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE).
Kati...
Jamani hivi hizi shule binafsi hivi ni kigezo gani wanatumia kupanga hizi ada kwa mikoa mingine ukiondoa Kigoma na Bukoba?Nina kijana wangu anasoma huko Tanga shule binafsi,tena shule ya msingi...
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyoonekana...wizara ya elimu itatoa lini majina ya waliopata scholarship za nchi mbalimbali ikiwemo China? maana nimesikia utaratibu siku hizi ni...
Habari za wakati huu wanajf..?
Niende moja kwa moja kwenye mada.!!.
Kwa matokeo haya naweza kusomea course ipi ya afya?
Chemist-B
Bios-B
Eng-B
Maths-C
Geo-C
Kisw-C
Hist-D
civics-D
Naomba utoe...
Uchunguzi wangu unaonyesha vijana wenye Div 1 na 2 wanakacha kwenda form five na kwenda vyuoni hasa vya utabibu, kulikoni?
Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
Hellow kwa wale wote ambao wanajihusisha na uandishi Wa novel, plays na poetry napenda tusaidiane kwa ambae labda ana uelewa ni kiaje naweza kudhaminiwa ili kitabu changu kiwe published na kisomwe...
Kama heading ilivyo naomba kujua kuhusu hii allowance inayotelewa ya 950 TL Serikali ya Uturuki, je inatosha kwa matumizi kweli, kwa mtu mwenye majukumu mengine nyumbani?
Hello team,
Nimeokota bahasha yenye vyeti vya Sunday Lameck, vyeti vyenyewe ni:
Cheti cha kuzaliwa number 000464555 kilichotolewa mwaka 09/11/1989
Cheti cha mafunzo kutoka FPCT YOUTH CENTRE...