Vijana wenye Div 1 na 2 kukacha kwenda form five na kwenda vyuoni hasa utabibu, kulikoni?

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Uchunguzi wangu unaonyesha vijana wenye Div 1 na 2 wanakacha kwenda form five na kwenda vyuoni hasa vya utabibu, kulikoni?

Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wamepangiwa tahasusi za masomo ya sanaa
Wakati huohuo amefaulu vyema masomo ya sayansi. Kwa usawa huu na masomo ya sanaa, in bora tu waende vyuoni
 
mziki wa advance wa D ya hamsini si mchezo na tunapoelekea hizi diploma za kozi za afya zitakuwa hazina ajira.
 
Back
Top Bottom