Nimepangiwa Field Masasi ,naomba kujuzwa hali halisi ya huko

Naja naja

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
634
1,000
Nimepangiwa Field masasi town council naomba kujuzwa maisha halisi ya huko.
 
Babu Msomali

JF-Expert Member
Mar 4, 2016
248
1,000
Ukifika wasalimie wayao na wamakua.. nilikaaga huo mji takriban siku 5 hivi ilikua miaka mingi kidogo.. sikuupenda sana.. ila sasa hivi naskia Kusini Kumekucha..
Usisahau kuja kutusimulia utakayoyaona huko mabaya na mazuri pia..
 
misasa

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
10,407
2,000
Mazuri tu....wafanya biashara kibao, magest bwelele, vyakula kibao, misikiti IPO, makanisa yapo, hospitali zipo......mitandao yote inapatikana.

Pesa yako tu
Magesti wana shindana na dodoma
 
Naja naja

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
634
1,000
Usisahahu kubeba condomu box kadhaa kama wewe ni me na unapenda totoz. Hapo masasi wanawake wanakugongea mlango na dirisha.

Hata ukitaka 10 kwa wakati mmoja hawana shida. Yaani hawanyimi na shughuli wanaimudu haswaaaa...
 
Che Mage

New Member
Jun 9, 2017
1
20
Masasi ni pazuri, ni wilaya iliyoendelea kuliko zingine za mkoa wa mtwara. Ni Junction ya barabara ya kwenda nachingwea, songea, newala na mtwara mjini. Usafiri ni wa uhakika kutoka dar na ni lami tupu hadi unafika.
U never regret to be there, I have been there kwa miaka minne wakati nasoma o level. It's a good place for sure.
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
3,916
2,000
Masasi ni pazuri, ni wilaya iliyoendelea kuliko zingine za mkoa wa mtwara. Ni Junction ya barabara ya kwenda nachingwea, songea, newala na mtwara mjini. Usafiri ni wa uhakika kutoka dar na ni lami tupu hadi unafika.
U never regret to be there, I have been there kwa miaka minne wakati nasoma o level. It's a good place for sure.
Kweli kabisa mkuu... hii ni wilaya moja matata sana kwa mikoa yote yaan Lindi & Mtwara.. Karibu tu Nahisi patapew hadhi yaMkoa mwngine wa kusini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom