Nataka kujiendeleza kuwa certified public accountant, msaada tafadhali

Nataka kujiendeleza kuwa certified public accountant, msaada tafadhali

sexy body

Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
22
Reaction score
17
Habari za mchana wana forum, mimi ni mwanafunzi ninaye tegemea kumalizia degree yang ya kwanza katika chuo cha Sua katika bachelor of Science in Agricultural Economics and agribusiness mwaka huu...... Nilikuwa napenda kuendelea kimasomo katika kusoma CPA ili sijui requirements zake.... Kama kuna mtu anazijua naomba anisaidie nami nizijue na pia na ushauri wenu nahitaji sana katika hili.. Asante

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Non accounting degree wananza foundation stage unapiga pepa tano nadhani wewe unaweza exempt baadhi ya pepa then intermediate stage pepa sita then final stage pepa 4 .

Kaza mkuu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Asante mr......

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom