Password
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 777
- 1,086
Wakuu salaam kwenu.
Nilikuwa nahitaji kufahamu kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha mbeya(MUST),kwenye website ya chuo wameweka majina ya selected students under government sponsorship,ila mimi nahitaji kujua majina ya selected students under private sponsorship, ninewatumia email hawajajibu bado na chuo kwa diploma kinafungua wiki ijayo,msaada Tafadhali wakuu naomba mwenye taarifa zozote juu ya hawa selected private sponsored students,naomba aweke hapa nijue.
Shukrani sana.
Mods msihamishe jukwaa hapa kuna wachangiaji wengi.
"the best never rest"