kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,628
- 1,786
Poleni Kwa uchovu wa mihangaiko, watu wangu kaka zangu na Dada zangu,
Kwa wale tuliosoma O level shule za kata tukapambana mpaka tukafikia hapa tulipo najua tumepitia Magumu Sana na Haya elezeki tuje hapa tujikumbushe harakati tulizopitia mpaka kufikia vyuo vikuu nakadhalika na ili wengine wajifunze jinsi ya kujituma na kuacha kusingizia walimu, ama miundombinu ama reading materials hafifu.
Karibuni wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app