Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Huwezi amini watu 36 tu ndio wamebahatika kupata mkopo chuo kizima cha ardhi kwa hawa freshers na continuous students wote wamekatwa katwa pesa zao hakuna mwenye pesa complete kama aliyoipata...
11 Reactions
66 Replies
7K Views
Ningependa kujuzwa,ni tovuti yenye past papers za masomo ya a-levels? Ningependa kujuzwa pia bei ya reviews za masomo ya a-level na hasa History Geography na English Language. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Zimebaki siku chache sana kabla ya kufika tarehe maalum iliyopangwa karibu na vyuo vyote nchini kwa ajili ya kuripoti kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Kuna wanafunzi waliochaguliwa nje ya mikoa...
2 Reactions
35 Replies
8K Views
You have a Credit of 1,465,000.00 S/No Fee Academic Year Pay type Reciept/Inv No. Date Paid Amount due 1 University Fee 2017/2018 INV.hidden info........... 16-10-2017 0.00 1,300,000.00 2 TCU...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sina meng ingia #olams log in then nenda attachments confim.... na ukimaliza hutoweza ku attach cheti kingine tena
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu nilichaguliwa kwenye multiple, cha kushangaza jina naliona chuo kimoja na vyuo vingine silioni kwa vile ilikuwa mwisho tar 18 kukomfem nilituma kwa njia ya SMS kukomfem na walinijib welcome...
0 Reactions
2 Replies
856 Views
Habari wakuu? Hii ni taarifa mpya kutoka TCU kuhusu udahili kwa undergraduates 2017/18.
2 Reactions
54 Replies
8K Views
Nina kijana wangu kamaliza kidato cha sita mwaka huu, sasa kuna rafiki zake wanamchanganya kuhusu chuo. Kila mara anaongelea kuhusu Archbishop James University (AJUCO) kilichopo Songea, na imekuwa...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Msaada tutani ndgu wanajamvi ninashida na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2001. Naomba msaada jinsi ya kuyapata
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Mimi nilikoconfirm second round udom, ila Mpaka sasa sijapata joining instruction wala admission letter Naombeni kwa yeyote mwenye nazo anisaidie,, maana Mpaka sasa sijui nafanyaje Msaada please
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nataka kwenda kuchukua mchepuo wa PCB PANDAHILL mbeya.kwa maoni nakaribisha
0 Reactions
15 Replies
3K Views
WANAFUNZI 14,000 kati ya 40,000 walioomba kujiunga na masomo ya juu wamechaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) katika mwaka mpya wa masomo 2017/18 unaoanza wiki hii. Mkurugenzi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tumsifu Yesu Kristu (T.Y.K), Kuna jirani yangu anaomba msaada wa kufahamu shule ya seconday ya Kiislamu ili ampeleke binti yake aliyemaliza darasa la saba mwaka huu. Ufaulu wa shule nalo ni jambo...
0 Reactions
14 Replies
15K Views
Wakuu naomba msaada wenu nimeona nikiweka matumaini makubwa kwenye HESLB pengine inaweza leta shida hivyo kwa yeyote anayefahamu mahala pengine popote ambapo wanatoa mkopo kwa wanafunzi ni...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
till nw watu hatujui tumepata asilimia ngapi japo majina tumeshayaona kupitia pdf za watsup. kwenye ku apply pia ilisumbua mtu umelipa lakin account haifunguki wengine control no unapata baada ya...
0 Reactions
4 Replies
930 Views
Naomba msaada kwa mwenye ufahamu wa iyo kozi tajwa apo juu .Inahusu nn na kwa upande wa ajira pia
0 Reactions
3 Replies
7K Views
wadau ipi ni nzuri na kwa upande wa ajira pia
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Juzi nimepata taarifa ya kuwa nimepata mkopo ,na kabla ya hapo niliiasha confirm udom sasa nimepata kazi juzi hivyo nataka kubadilisha nisome hapahapa dar ili iwe rahisi kufanya kazi na pia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau nataman kujua dalili za pressure kuwa chini na madhara yake
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…