kuna tatizo mtu akiconfirm vyuo viwili tofauti

Golden_boy

Member
Nov 15, 2016
10
2
Juzi nimepata taarifa ya kuwa nimepata mkopo ,na kabla ya hapo niliiasha confirm udom
sasa nimepata kazi juzi hivyo nataka kubadilisha nisome hapahapa dar ili iwe rahisi kufanya kazi na pia kusoma chuo muda wa jioni,kuna tatizo nikiconfirm tena chuo kingine naomben msaada wenu
 
Wahusika hawana contact information?

Hakuna maelekezo uliyotakiwa usome ukaacha?
 
Juzi nimepata taarifa ya kuwa nimepata mkopo ,na kabla ya hapo niliiasha confirm udom
sasa nimepata kazi juzi hivyo nataka kubadilisha nisome hapahapa dar ili iwe rahisi kufanya kazi na pia kusoma chuo muda wa jioni,kuna tatizo nikiconfirm tena chuo kingine naomben msaada wenu
Unaelewa maana ya kuconfirm???

Acha ushamba utapata shida kupata mkopo..!
 
HAPO NI KUCHAGUA KATI YA KAZI AU KUSOMA BASI !! HAMNA NAMNA NYINGINE
 
Back
Top Bottom