Natafuta shule bora ya Kiislamu "Islamic Seminay" kwa Dar au mkoani

Kichumini

Member
Jun 7, 2016
90
106
Tumsifu Yesu Kristu (T.Y.K), Kuna jirani yangu anaomba msaada wa kufahamu shule ya seconday ya Kiislamu ili ampeleke binti yake aliyemaliza darasa la saba mwaka huu. Ufaulu wa shule nalo ni jambo la kuzingatia na angependelea Dar iwe first priority. Wenye ufahamu na kuzijua plzzzzzzzzzzz naomba msaada wenu. Yesu awabariki.
 
Kirinjiko seminary ipo same moshi
Shule inafanya vizuri Sana ihii kuna nyingine inaitwa midio Islamic seminary IPO kilimanjaro masama... Mimi ni mkiristo Lakin hizi shule wamesoma rafiki zangu na walifanya vizuri hata matokeo YA six mwaka uhuu yapo poa
 
Back
Top Bottom