Another loan boards available

Another loan boards available

unique one

Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
42
Reaction score
10
Wakuu naomba msaada wenu nimeona nikiweka matumaini makubwa kwenye HESLB pengine inaweza leta shida hivyo kwa yeyote anayefahamu mahala pengine popote ambapo wanatoa mkopo kwa wanafunzi ni exceptional of HESLB anijuze tafadhali ili nami niweze apply na kuendelea kimasomo hata kufikia ndoto zangu.

Wasiwasi wangu ni kwamba wazazi wanaweza wasiweze kunilipia vyote hata wanaweza amua wanisuhirishe next round yaani mwakani hivyo naombeni msaada wenu jamani.
 
Mo scholarship. Kwa wale wa udsm na sua.
 
Ila nadhani muda wa kuomba utakuwa ushapita. Ingia Google jaribu kutafuta hiyo kitu utajua kama bado ama ishapita.
 
Wakuu naomba msaada wenu nimeona nikiweka matumaini makubwa kwenye Hesleb pengine inaweza Leta shida hivyo kwa yeyote anayefahamu Mahala pengine popote ambapo wanatoa mkopo kwa wanafunzi ni exceptional of Hesleb anijuze tafadhari ili nami niweze apply Na kuendelea kimasomo hata kufikia NDOTO zangu
Wasiwasi Wangu ni kwamba wazazi wanaweza wasiweze kunilipia vyote hata wanaweza amua wanisuhirishe next round Yaani mwakan hivyo naomben msaada wenu jaman
TSSF application deadline ni Nov30
Changamka
 
Wao wana uwezo wa waombaj 50,000 na makato yao siyo kama ya heslb. Wahi kabisa muda haujaisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom