Aen Urner
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 388
- 380
Zimebaki siku chache sana kabla ya kufika tarehe maalum iliyopangwa karibu na vyuo vyote nchini kwa ajili ya kuripoti kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza.
Kuna wanafunzi waliochaguliwa nje ya mikoa yao wanayoishi na lengo kuu la Uzi huu nikuomba wanajukwaa wenyeji katika mikoa tofautitofauti hapa nchini kuwajuza wanafunzi wanaotegemewa kuripoti katika mikoa hiyo process zote za kufanya na tahadhari pia za kuchukua ili kufika salama chuo husika pindi tu wafikapo Stand ya Mabasi ya mkoa husika.
Kwa kuanza ningependa kufahamishwa jinsi ya kufika UDSM kwa wale wenyeji wa DAR lakini pia na vyuo vingine kulingana na mahitaji ya wanajukwaa katika Uzi huu!!!
NATANGULIZA SHUKURANI ZANGU KWENU!!!