Naomba Ushauri: Nataka kwenda kuchukua mchepuo wa PCB Panda Hill Mbeya

Tatizo sijui kichwa chako kinafanya kazi kwa uharaka gani ila kaka umeona kichwa kitamudu kila la kheri
 
Panda hill ni shule nzuri sana kitaluma sema watoto wa pale sio wapambanaji,kama uko active nenda panafaa

Rejea wazo #3..
 
Iyoh shule wanachuja balaaa unaweza soma miaka minne bure
Any way kila la her
 
Back
Top Bottom