Matanzia kizebazeba
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 654
- 630
Msaada tutani ndgu wanajamvi ninashida na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2001.
Naomba msaada jinsi ya kuyapata
Naomba msaada jinsi ya kuyapata
Nipo mkoan ndguNenda NECTA
ukiwa na shida utaenda necta au jaribu kuwaandikia barua au kuwapigia simu.Nipo mkoan ndgu