Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari ya wakati huu, ninaomba msaada juu ya kitu kinaitwa mfumo kwenye elimu,nasikiaga tuu usajili ,uhamisho n.k unafanyika kwenye mfumo,huu mfumo upoje? na mbona waalimu wanautumia vibaya kwa...
1 Reactions
4 Replies
646 Views
Yani hiyo course huwa ina field kweli? Na je, ikoje hiyo kozi? Msaada plz
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Watoto wa shule (wanafunzi) wa sikuhizi wataumwa migongo. Unamkuta mtoto mdogo wa shule wa miaka kati ya 5 - 7 amebeba begi kubwa utafikiri anahamia shuleni moja kwa moja. Ukifuatilia utagundua...
1 Reactions
1 Replies
278 Views
Habari Wana jamvi, tunashukuru Mungu kwa kuamka salama na kwa wale wenye changamoto mbalimbali tunawaombea kwa Mungu awape wepesi kuvuka kipind hiko kigumu, Back to my topic. Kuna nafasi 8000...
2 Reactions
1 Replies
848 Views
Wanafunzi wa UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus (Chuo) kuelekea Mabibo Hostel, magari hayo maarufu kwa jina la SHATO. Tunalazimika kukaa muda mrefu tukisubiri usafiri, inadaiwa...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Jaman vipi kuhusu hizi koz
3 Reactions
20 Replies
668 Views
Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia...
4 Reactions
11 Replies
851 Views
Mtu anaejifunza karate au sanaa nyingine yoyote ile ya mapigano, hupata faida nyingi sana, ikiwemo kwanza anapata uwezo wa kujihami dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, watekaji na wauaji. Pia...
3 Reactions
7 Replies
602 Views
Wakuu salamu. Ningependa kwa anaejua hivi Open University of Tanzania website yao imepatwa na ugonjwa gani? Kuna mdau alifanya application ya kuomba nafasi undergraduate kwa kutumia Online...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Ask Anything Concerning Computer Science and Engineering. If you have doubts diving into CSE. Ask anything and I'll openly answer it.
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Tanzania ! Tanzania ! Tanzania ! Habari za leo vijana wasomi. Naomba kutoa wazo hapa hasa kwa Serikali dhidi ya Vijana wa elimu ngazi ya Shahada. 1. Serikali tunaweza anzisha "VIJANA...
1 Reactions
8 Replies
772 Views
https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7 HAYA! Kama wewe ni msailiwa, Mtainiwa mtarajiwa, Thinker kiongozi, au mtu yeyote anayekabiliana na hali tata zinazohitaji uchambuzi wa kina ili kupata majibu...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Habari wakubwa,naomba kujua ni kiasi gani mchora ramani au mjenzi analipwa hapa Tanzania?
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Habari za Jioni wakuu? Leo nimeona niwashirikishe juu ya mchongo huu. Ni kuwa, hii ni Program maalamu ya kuwawezesha mabinti ambao hawakumaliza elimu ya Sekondari kwa sababu yoyote kujiendeleza...
2 Reactions
8 Replies
635 Views
Sisi ni wanafunzi tunaosoma Shahada ya Utoaji Dawa za Usingizi na Ganzi Salama (NURSE ANAESTHESIA) Shahada hii inachukua miaka minne mpaka kuhitimu. Dawa hizo ni mhimu sana katika Huduma za...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari Wana bodi ,Ikiwa Leo 8/3/2025 ni siku ya wanawake duniani kwa upekee kabisa mwaka huu naomba siku hii ni-dedicate kwa mwanamke wa nguvu Mkuu wa shule Chamazi Sekondari E.Chilewa . Mama...
2 Reactions
14 Replies
843 Views
Wakuu Habari zenu. Wale walio tuma mahombi Tax Manger position na Internal Affair Officer tuchangamshe vichwa na Maswali ya Miaka ya nyuma. IMPORTANT ANNOUNCEMENT ALL CANDIDATES EXPECTED TO...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri. Binafsi nilifanya mtihani huu...
34 Reactions
539 Replies
12K Views
Habarini wana JF naombeni kuelimishwa je inawezekana kusoma computer sience ikiwa 4m4 math nilipa F na kama inawezekana ni kivipi au nifanyaje? na kama haiwezekani nisome it inawezakua na maslah...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Wapendwa wana jukwaa, bila shaka mu wazima. Naomba kufahamishwa ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa kozi za Health and Safety Management?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…