Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari wanataaluma! Nilikuwa najaribu kulinganisha jinsi Sekta nyingine zinavyotoa huduma na jinsi sekta ya elimu inavyotoa huduma. Ukiangalia utaona walimu ambao ndio wadau wakubwa katika utoaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yani chuo kama advance bana, yaani msuli kama upo skuli jamani kah. Tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
11 Reactions
122 Replies
12K Views
Inasikitisha na inauma sana serikali (TCU na NACTE) kupeleka wanafunzi kusoma Pharmacy na medical lab ilihali wakijua kuwa chuo hakijatimiza vigezo na hakijasajiliwa na Pharmacy Council...
1 Reactions
38 Replies
18K Views
habarini wakubwa kwa wadogo, nilikua naomba mwenye softcopy za notes na past papers za DEVELOPMENT STUDIES 1 na LINEAR ALGEBRA 1, m nipo 1st year apo udsm, msaada wakuu, ahsanteni.
0 Reactions
62 Replies
11K Views
Wadau wa elimu poleni na majukumu. Hivi imeshawahi kutokea shule nyingine wanafunzi wamemaliza kidato cha nne, matokeo yametoka halafu wazazi wanaitwa kwenye kikao cha wazazi na wanafunzi...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Direct kwenye somo tajwa. Hivi matokeo tajwa yameshatoka? Kama tayari basi mwenye nayo aweke link apa au ayaupload hapa. Kwenye ukurasa wao hamna kitu.
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Habari za jioni wanajamii Nimeona niiweke hapa jamvini kuhusu bodi ya elimu ya juu kuwabambikia watu madeni, utakuta mtu hata hajasoma chuo kikuu chochote na pia ni darasa la saba lakini from no...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau kwa aliyesoma CBG A level na akafaul vzur anaweza kwenda kusomea Medical lab
0 Reactions
2 Replies
5K Views
NYAMA,NYAMA- TUIFAHAMU KWA UFUPI Habari ndugu, pole na majukumu na mshukuru MUNGU kuiona siku na mwaka huu pia. naomba kwa ufupi nieleze machache juu ya nyama kama mboga, faida kadhalika na...
4 Reactions
24 Replies
9K Views
Natafuta tuition ya PCB iliyopo musoma
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Utakuta kijana kapata div 4 matokeo ambayo anaweza akaenda chuo cha kati lakini ananga'ng'ania kurudia mtihani mbaya zaidi anarudia hata mara tatu na anakosa alichokuwa anatafuta, hafikirii muda...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna mwanafunzi ame graduate form four na kupata ufaulu wa division iv ya point 26. Chemistry D, Biology C, Geography D, English C, History D, Civics D, Kiswahili D, Math F. Je kwa upande wa...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
How to draw the graph of y=-x^2+4x-5 and to use it to solve the equation x^2+4x-5=10
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wakubwa. Ngoja niende straight foward kwenye lengo la kufungua huu uzi. Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kuweza kunikopesha 350K,anisaidie,nitaacha cheti changu original cha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna hiki kimoja kinajiita ZIONI..eti wanakozi inaitwa BUSINESS OPERATION ASSISTANT.. ANDROID BEGINER... Hivi NACTE huwa wanafuatilia matangazo ya hawa watu..
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Mpaka sasa japokuwa siyo rasmi lakini inaeleweka mwanasheria namba 1 aliye mbobezi ktk fani na maarifa yake ni Prof Palamagamba Kabudi. Je, upande wa uchumi nani ni mkali namba One hapa nchini...
2 Reactions
59 Replies
9K Views
Habar wanajamvi... Nina Certificate ya ICT..tatizo limekuja pale nilipoenda SAUT...Kuapply wakanambia cheti hakitambuliki....wanasema DATABASE ya NACTE...aitambui (AVN).. . Nikaamua kuchukua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vijana badala ya kuwa mitandaoni kufuatilia siasa na akina nasibu fuatilieni na mambo ya maana kuna mtu anajiita scholarships_masomo insta uwa anapost scholarships na nimeona ametangaza kuanzisha...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
wanajamvi ivi kama mtu hajasoma masomo ya sayansi anawaza kusoma kozi ya nursing assistance kama bios kafaulu? na ni vyuo gani msaada please natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wako
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…