Natafuta tuition ya PCB iliyopo Musoma au Mwanza

Natafuta tuition ya PCB iliyopo Musoma au Mwanza

Nenda kwa Mwalimu Michael "Mnyama". Anapatikana Mwanza, Ukifika Thaqaafa ulizia utaekekezwa.

Ni Mwalimu bora wa physics na mathematics. Anashika nafasi ya kwanza Mkoa wa mwanza
 
Back
Top Bottom