Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

naombeni mnisaidie shule za advance zinazochukua wanafunzi wanaojitahidi na kuwapeleka shule zao, na namna ya kuwasiliana nao na wanapopatikana
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kujua kama chuo cha uhasibu TIA kama kina foundation course ambyo hutolewa kwa ajili ya kumpa sifa mwanfunzi ambae hakuwa na sifa za kusoma ngazi ya cheti,kwa maana ya kuwa na pass nne...
0 Reactions
1 Replies
975 Views
Habar wapendwa wana JF, natafuta chuo kizuri kinachosifika kwenye kutoa mafunzo ya nursing level ya certificate kilichopo Dar Es Salaam naombeni mnitajie .
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanafunzi wa The Law School of Tanzania wanatakiwa kuingia katika chumba cha mtihani na kitabu kilichotungwa na walimu wao. Kitabu hiki kinauzwa shilingi 45 elfu.Kwa hali ya uchumi ilivyo hivi...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwema ??? Nauliza mtu anaweza kuresit somo moja form 6 lets say Pure Maths.???
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina dogo wangu kamaliza mwaka jana ana 4 ya 30 ana bios C-chemisty D geog D pamoja na kiswahili ana D. Je anaweza kupata chuo cha serikali ..anataka kusoma pharmacy
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Usihangaike..!!!!! Kama unahitaji kufaulu Masomo ya jioni katika CERTIFICATE na DIPLOMA katika NURSERY TEACHING, EARLY CHILDHOOD EDUCATION na PRIMARY EDUCATION. Waalimu ni professional katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salamu wapendwa wana jf Naomba kuweka wazi kabisa katika hili sipo kwa maslai ya ccm chama tawala au ukawa/chadema kwa wapinzani naomba nisimame kama mtanzania Siku chache baada ya Mh. Rais wa...
18 Reactions
100 Replies
15K Views
Naombeni msaada kwa anayejua qualification za kupangiwa shule za vipaji coz nina one ya 14 na ukichek hapa mtaani kuna jamaa alipata one ya 17 na akapangiwa Tabora boys
2 Reactions
39 Replies
12K Views
Tuubusti kidogo ubongo..Taja majina ya nchi hizo
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wana JF . Naombeni mawazo yenu . Nimeplan kutengeneza system ambayo itasaidia kupunguza matatizo wanayokumbana nayo wagonjwa mahispital. Mfano kusubir huduma bila mafanikio na kushindwa...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Mdogo wangu amechaguliwa form V shule moja mkoani Kagera ila anapenda kuhamia Bwiru Boys comb ya PCB.Kuna mtu anaweza akanipa msaada wa mawazo ili niweze kupata nafasi ya kumuhamisha Bwiru Boys?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wizara ya elimu inachezewa sana na shule za serikali !! Kuna maswali mengi yaliyosa majibu, ni kwanini masomo ya sayansi hapa namaanisha PHYSICS, CHEMISTRY, MATHEMATICS na BIOLOGY wanafunzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Pindi na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu. Sasa na miaka 70 nini, je Dada yangu atakua na miaka mingapi? [emoji56] Nasubiri kuona wavivu wa kufikiri
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari.?? Naomba tusaidiane kuelimishana katika hili. Tunajua kuna madini mbali mbali na yanapishana matumizi na gharama zake... Tukiachana na matumizi ya silaha yatokanayo na baadhi ya madini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wana jukwaa hili la kielimu. Naomba kujua(kutolewa tongo tongo) juu ya usomaji kupitia njia ya mtandao. Nimekuwa na shauku kubwa sana ya kusoma kwa njia hiyo lakini naogopa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanajamvi nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara juu ya jambo hili na kushindwa kupata jibu jadidi. Hivi ni kwanini wanawake wembamba wanakuwa na uke mpana kiasi kwamba ukimwingilia unakuwa kama...
3 Reactions
27 Replies
25K Views
Wapendwa hope mko poa Naulizia shule nzuri ya nursery ada yake isizid m4. Mtt ana 4yrs. Asante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…