Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ni kweli sifa za kujiunga na clinical medicine zimetelemshwa kiasi hiki? Tunapata matabibu kutokana na walioshindwa Form 4? Just look, D ni failure kwa kozi kama hiyo! MASASI CLINICAL OFFICERS...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Chuo pendwa Tanzania cha achia majina ya awamu ya kwanza. pakua hapo chini
0 Reactions
9 Replies
3K Views
What is mechanical engineering? Sean Carron, combustion, heat transfer, fluids, machines, control systems, oil/gas processing Answered Aug 7, 2016 I have hired many engineers over the past 20...
1 Reactions
0 Replies
872 Views
Samahanini jamani naomba kuuliza Kama mtu amaomba mchanganyiko Yani mfano ameomba vyuo viwili vya afya na viwili vya ualimu kwa ngazi ya diploma, wanaangaliaga nini kukuchagua chuo kimoja...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ningependa wizara ya elimu iombe wapelelezi,wapeleleze wajue nini kinachofanyika kwenye sekta yao,alasivyo tutavuna mabua kwa yanayoendelea.. elimu ni kitu cha msingi sana na walimu ndo wapishi...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Naomba Sana Kama Kuna mtu ana mawasiliano ya chuo udsm au group la whatsapp lenye kujibu dukuduku naomba nipate mawasiliano hayo. Msaada Tafadhali
0 Reactions
1 Replies
690 Views
Ilikuwa Mwanasheria wa masuala ya Mitandao yaani BTech law (Cyber Law) Tanzania inakupasa usome kozi gani?
0 Reactions
5 Replies
976 Views
Wadau naombeni mwenye taarifa za selection za chuo cha NIT??
0 Reactions
35 Replies
12K Views
Zinakuja kwa Bus, Ndege,Treni, aunkwa mguu? Tar ya mwisho Ku Confirm imekaribia lakini Code hakuna, sasa vijana wetu wata confirm na non? Au watumie namba za kubuni tu? Kuweni makini pia muwe na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekuwa na ukaribu na baadhi ya graduates wa fani ya uhandisi kutokana na kwamba either nimefanya nao kazi au nimewahi kuwa class-mate wao katika level mojawapo from secondary to university...
2 Reactions
108 Replies
20K Views
Mdogo wangu kapokea codes za Ku-comform Sasa Hivi, swali je Anaanzia wapi kuingia Kwenye hiyo confirmation? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
647 Views
Kuna bwana mdogo alifanya application SUA na UDOM 1st round akapata BVM ya SUA na hakuwa na multiple maana yake alikosa UDOM hakuridhika na BVM hivyo akafanya "reapply" pale UDOM sasa 2nd...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dogo kapokea confirmation code dakika chache zilizopita.
0 Reactions
135 Replies
17K Views
hivi kwa wanafunzi waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja wametumiwa code kwa ajili ya kufanya comfirmation mfano UDSM inagoma kufungua msaada pls
0 Reactions
1 Replies
648 Views
wakuu msaada Tangu jana usiku nimekua niki jaribu ku confirm chuo cha ifm. shida ni kuwa haikubali, error message ninayopata ni : 'Fail to connect to resources, please check your connection or...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu salaamu Nashukuru nimechaguliwa UDSM single selection. Sasa nipo kwenye mchakato wa kuhitaji joining instructions form ili nimpe mfadhili wangu ajue ni shiling ngapi analipa. Please...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sitaki kuamini kama nina mkosi kiasi hiki! Ina maana nina nini mimi mpaka sasa hivi hizo codes sijazipokea? Nasikitika sana pale ninaposikia kauli eti, "Waombaji wote wameshatumiwa codes"...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Mwenye majna ya udsm nayaomba
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Ndugu zangu, habari za wakati huu na poleni sana kwa majukumu? Hao watoto hapo chini wapo wangapi kwa ujumla kulingana na uwezo wako wa kupambanua challenges? Ninawasilisha, Asanteni.
1 Reactions
67 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…