Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

wakuu nauliza kama kuna MTU mwenye two kachagiliwa BAED udom mana daah mimi nimeomba hyo koz udom nimetemwa
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Mdogo wangu kapokea codes za Ku-comform Sasa Hivi, swali je Anaanzia wapi kuingia Kwenye hiyo confirmation? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
503 Views
Ukifungua inakuletea vitu visivyoeleweka, ukitaka kuingia kwenye akaunti yako kuangalia selection results inaleta maruweruwe mengi, watu wa IT udom tunaomba mlifanyie kazi tatizo hili
1 Reactions
11 Replies
4K Views
TCU watoa majina kwa walio chaguliwa vyuo vikuu zaid ya kimoja 2018/2019 je kwa wale walio chaguliwa chuo kimoja majina yao wap??
1 Reactions
17 Replies
11K Views
Napenda kuuliza wakuu kwa sisi diploma tunaangalia vip matokeo na kama kuna mtu ana link basi aitume tusaidiane
0 Reactions
0 Replies
374 Views
Napenda kuuliza wakuu kwa sisi diploma tunaangalia vip matokeo na kama kuna mtu ana link basi aitume tusaidiane
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Napenda kuuliza wakuu kwa sisi diploma tunaangalia vip matokeo na kama kuna mtu ana link basi aitume tusaidiane
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Mdogo wangu kapokea codes za Ku-comform Sasa Hivi, swali je Anaanzia wapi kuingia Kwenye hiyo confirmation? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
565 Views
Jamani mwaka huu walikuwa wanachagua vyuo kwa vigezo gani kwa maana kuna watu kibao wenye Two na One wameachwa kwa mfano kuna dugu yangu ni PCB ana two ya 12 na mwingine TWO ya 11 watu wamekosa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu nina kibarua cha kuchagua chuo kimoja kati ya viwili kwa ajili ya bwana mdogo aliepo jkt,Jana usiku saa tatu nilipokea meseji toka namba 15200 ikinambia nahitaji kucomferm kwenye chuo...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari JF,nime chaguliwa bachelor degree in biology chuo cha udom naomba kujua niki soma hiyo kozi baadae nta kuwa nani? au nta weza fanya kazi gani kulingana na hii kozi. Mawazo yenu muhim sana
0 Reactions
4 Replies
679 Views
Salam wakuu, Nimefungua uzi huu maalum kwa wakuu mbali mbali ambao tulipitia pale ifm kuweza kukutana hapa kujuliana hali na kufahamu mawili matatu na kushare experience mbalimbali kuhusu maisha...
3 Reactions
244 Replies
26K Views
Mwenye majna ya udsm naomba anisaidie single admission Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimechaguliwa kujiungUDOM ila ninahitaji kuihama kozi ambayo nimechaguliwa!! Je kuna uwezekano wa kuhama kozi hiyo na kama upo je ni hatua gan nitahitaji kuzifuata ili kuihama kiurahisi...
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Naomba kujuzwa wadai kwa wale ambao tumekosa kuchaguliwa kwa awamu ya kwanza,kwa mfano awamu ya kwanza niliomba Udom,lakini pia kwa awamu ya pili nataka niombe tena hapo udom,Je kuna haja tena ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu mwenye majina ya sua tunaomba ayaweke hapa mbona kimya tuuuuuu mpaka leo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Nimechaguliwa kujiungUDOM ila ninahitaji kuihama kozi ambayo nimechaguliwa!! Je kuna uwezekano wa kuhama kozi hiyo na kama upo je ni hatua gan nitahitaji kuzifuata ili kuihama kiurahisi...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Kama umechaguliwa LLB Saut tukutane hapa kwa mawili matatu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
783 Views
Mkurugenzi wa jiji la Arusha Dkt Maulid Madeni amewatakia wanafunzi wa darasa la saba kila la heri katika mitihani yao wanayoianza kesho. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama umechaguliwa LLB Saut tukutane hapa kwa mawili matatu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
822 Views
Back
Top Bottom