Wandugu habarini za leo?
Naomba kwa mwenye ideas na Masters of Project Management toka Chuo Kikuu Huria Tanzania, nahitaji kujua upatikanaji wa materials, lecturers na changamoto zilizopo pia...
Kuna taasisi nyingi hivi sasa ni agents wa vyuo vikuu nje ya nchi,kama kuna mtu mwenye ushuhuda kuhusu ukweli wao kama sio matapeli naomba anifahamishe kabla sijafanya maamuzi,,,hususan TASSAA na...
Ndugu wanajamvi naombeni mwenye uelewa wa kozi mbalimbali ngazi ya certificate na Diploma zinazotolewa na Alison Online je cheti chake kinatambulika Duniani kwenye ajira au kujiendeleza?
Faidika na fatwa mbalimbali za masheikh wakubwa wa Kisunni kama vile:
Sheikh Al-Albani
Sheikh Ibn Baaz
Sheikh Ibn Uthaymiyn
Sheikh Muqbil
Sheikh Fawzan
Fatwa hizi zipo katika mfumo wa video...
Habari wanajamvi
Naombeni tujuzane juu ya uzuri wa course ya Information Technology (IT) ni vipi unaweza kujiajiri na pia kama utaajiriwa unafanya kazi wapi?
Karibuni[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Tangazo hilo hapo
By the way, ada ya law school ni kiasi gani?
My Observation...kozi zote walizoziweka, unazisoma zote darasani 1st year to 3rd year. It is like a repetition..why that repetition?
Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
Kama wewe ni msee wa PCB (Physics, Chemistry, Biology) au unayo mtoto anakamua advance na anazidiwa na hizi topics ngumu– basi stop struggling alone, coz I'm the plug you’ve been looking for...
WALIMU WACHAPWA FIMBO NA WAZAZI SHULENI.
Itakumbukwa kuwa Mwaka 2009 ilitoke tukio la Mkuu wa Wilaya Bukoba wakati huo Bw, Albert Mnali aliyeamuru polisi mmoja kuwachapa viboko...
Hello habari,
Malalamiko yamekuwa mengi kwa wanafunzi wa clinical officer kwa vyuo vingi hapa Tanzania, wanafunzi wanafelishwa makusudi, vyuo vingi wanaopata pass hata robo ya darasa hawafiki...
Yo, watanzania wenzangu, especially walimu wa hesabu...
Let’s be real, you’ve been feeding kids the same old sht for decades. Pythagoras this, Quadratic that, kama vile hiyo crap ndio mwisho wa...
Habari wakuu,
Naomba kujua hivi mtu aliyesoma diploma ya dental therapy/ Dental Technology anaruhusiwa kufungua clinic yake mwenyewe kwa kutumia cheti chake?
Naomba pia kujua changamoto kubwa au...
Sasa hebu tuongee real talk, no filters, no sugarcoating – straight up raw! Hii kitu mnaita HELSB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu...
Habari,
Samahami nimejikuta katika wakati Mgumu sana baada ya mwanangu kumaliza darasa la saba mwaka huu 2024.
Tumekuwa tukivutana na mke wangu sana. Mtoto kapata shule nyingi za boarding...
Wasomi wa Mlimani toka tarehe 29/04-02/05 Wana Mkutano wa kitaaluma wanajadili Uhuru wa Kitaaluma (Academic Freedom) ingawa wenyewe wamefungwa kwenye minyonyoro ya utumwa wa fikra na uchawa
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Charles Mahera, amefunga rasmi mafunzo ya matumizi bora na salama ya vifaa vya TEHAMA kwa walimu wa shule za msingi...
Yaani mnataka kuniambia haki ipo? Sheria iko? Utu unaheshimiwa? F*ck no! Hii system inatuchezea kama clowns. CCM kila siku wanapiga kelele majukwaani eti vijana ni taifa la kesho—yo, what tomorrow...