Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba kuuliza mie nimemaliza form six mwaka 2010, je cheti changu bado kitakuwepo shuleni au huwa vinarudishwa NECTA? Asanteni
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanaJF. Nilikuwa napitia TCU admission guiding book ya 2023/24 inaonesha ili uingie degree kutokea diploma ni lazima uwe na GPA ya 3.0, ila sijaona alternative kwa aliyepata G.P.A chini ya...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari Wapendwa, Mods Tafadhali, ikibidi Hamishieni Uzi huu kwenye Jukwaa la dini/Imani Habari za Jioni, Hii ndoto imekuwa ikijirudiarudia hivi sasa kiasi kwamba Karibu kila wiki ni lazima niote...
6 Reactions
32 Replies
13K Views
Habari JF, Naomba kuuliza, kuna amesikia tamko lolote kuhusiana na wanafunzi walioomba mkopo wa HESLB kwa ngazi ya postgraduate? au kuna yeyote aliyefanikiwa kupata? Maana naona kimya kimetanda...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu kipi huwa kinatokea, inawezekana vipi mtu aliyepata div 1 o level aje kuwa kilaza wa kutupwa advance mpaka kupata zero?
14 Reactions
120 Replies
5K Views
Wadau wa elimu na wazoefu wa hiz comb naomben ushauri. Nataka kusoma 5&6 kwa mwaka1 kati ya cbg na hgk niende na ipi ambayo haitakuwa ngumu sanaa au na mambo mengi sanaaa ili nisiathir shughul za...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Hello JF, Hi shule ya government, wamefanya vizuri sana na huwa wanafanya vizuri Sana Imagine mwanao amepangiwa shule hii
14 Reactions
96 Replies
5K Views
Wababe zangu madogo wa form six, hebu tusome reality bila sugarcoating. Kama umemaliza form six na una-plan kurusha maombi kwenye vyuo vya Bongo bila hata kuangalia options za kimataifa, then you...
6 Reactions
8 Replies
629 Views
Hello, Ni demu fulani anaitwa Cong cong wang hivi kwa sasa yupo shule gani? na kama anasoma bongo, form 6 ya mwaka wao inafanyika lini? ili akishafanya ACSEE, results zake tuzipost humu, coz kuwa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna mdau yoyote anayekifahamu hiki chuo? kinaitwa University of the people. Nataka nijiunge kwa ajili ya kuongeza degree. Chuo kinafundisha Online tu. Tuition ni free ila unalipa admission...
2 Reactions
5 Replies
733 Views
Wakuu mimi ni mkazi wa Lindi nimesoma PCM shule moja uboizini huko Mbeya na nimemaliza mtihani wa taifa siku chache tu zilizopita. Hapa bado nawaza niende JKT au nipumzike home hii miezi kadhaa...
12 Reactions
78 Replies
5K Views
Anonymous
Kama wamekubali kuchukua ada zetumbon awnatudharau kiasi hiki. Ukiwa mwanafaunzi pale OPEN ndiyo utaona ada yako haina thamani kabisa na moja ya kitu najilaumu ni kuijiunga na hiki chuo. Kwa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za majukumu wanajukwaa, bila shaka ni wazima wa afya. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu; Ndugu wanajukwaa naombeni ushauri wenu hasa kwa nyie wazoefu na hii kitu inayoitwa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari ya wakuu! Naomba kujua nataka nisome Pharmaceutical Dispenser. Je ni chuo gani kinatoa course hii? Ningejua na Gharama na vigezo ingekuwa poa.
0 Reactions
1 Replies
424 Views
Leo napenda kuanzisha mjadala wa kiungwana kuhusu kozi tatu maarufu sana kwenye dunia ya teknolojia. Tafadhali changia kwa heshima na adabu, tukilenga kusaidiana. 1. Computer Science Faida: Hii...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari wadau wote wa JF. Kweny pitapita zangu za hapa na pale humu JF sijakutana na general thread yeyote iliyoanzishwa kwa ajili ya chuo cha afya na sayansi shirikishi muhimbili, bac nimeamua...
16 Reactions
62 Replies
9K Views
Wakuu nisaidieni ni chuo gani Poland chenye gharama nafuu na cost of living ambazo ni affordable. Najua kuna watu umu wenye practical experience ya nchini Poland au wenye kuifahamu Poland na...
1 Reactions
4 Replies
378 Views
Habari, naomben kujua wajibu au kazi za afisa katika taasisi.
0 Reactions
1 Replies
435 Views
Job Title: Teacher Subjects and Academic Qualifications: Business Studies & History or Geography: Diploma or Bachelor Degree Science/Information and Computer Studies & Physics or Mathematics...
1 Reactions
1 Replies
471 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…