Kwa unayemaliza/Uliyemaliza Kidato cha NNE/SITA, Pitia njia rahisi KUSOMA UHASIBU, usihangaike kama tulivyohangaika sisi kwa kukosa taarifa sahihi.. Fanya maamuzi sahihi sasa..
KWA MAELEZO ZAIDI...
wakuu nakusanya material ya kidato cha tano na sita kwa ajili ya mdogo angu aliepangiwa kusoma combination ya PCB
kama kuna mtu anaeza nisaidia juu ya hili anipm tuone tunafanikishaje hili...
Naomba sana kuelemishwa juu ya uchaguzi wa Vijana wetu kuingia kidato cha tano. Mimi kijana wangu alipata daraja la kwanza ya pointi 9. Hii ina maana alipata A7, B1 na C1 lakini cha kushangaza...
Baada ya kutoka selection za Kwenda form five naona vijana wengi wametupwa College wakapige Diploma badala ya Kwenda A level... Sikatai ni Jambo zuri kama mnavyodai kuwa mwenye Diploma anakuwa...
Kwanza nianze kwa kuwatakia sikukuu njema ndugu zetu wa islam,
mafanikio ni ndoto ya kila mtu aliye duniani,japo mafanikio yamekuwa ni magumu kwa wengi kulingana na tamaduni,mazoea,sera za...
Nimepangiwa chuo cha ualimu kigoma stashada ya ualimu wa fizikia na biologia . Sasa naomba ushauri nfanyaje jameni na mi mipango yangu ilikuwa ni kwenda advance nikasome pcb
Wakuu hongereni kwa sikukuu ya Eid.
Husika na kichwa cha habari hapo juu chahusika. Naombeni msaada sana wa kufahamu chochote kuhusu chuo tajwa hapo juu.
Nina ndugu kijijini kachaguliwa hapo...
naomba kuuliza kuhusu wale wanaorisit kama private candidate, nao wanapangwa form five na serikali kama watainiwa wa school candidate wanavyopangwa na serikali?
na je, post zao zinarushwa mtandaoni?
*HESLB MAOMBI YA MIKOPO 2019*
*[emoji599]HESLB BREAKING NEWS: BODI YA MIKOPO YATANGAZA RASMI MUONGOZO MPYA WA MAOMBI YA MKOPO KWA MWAKA 2019*
*▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬*
*[ Download PDF File] -MUONGOZO...