KIDYA SEC SCHOOL ,MASASI -MTWARA

Feb 28, 2019
5
1
Msaada kwa anaeijua shule hiyo, nataka nijue mazingira,trending ya ufaulu ya hii shule, mdogo wangu kachaguliwa apo
 
Chidya mkuu shule ipo vzr kielemu kwa mikoa ya lindi na mtwara kuna mtwara tech na chidya boys,
Kuhusu mazingira shule ipo kijijini
Mwache aende kiumen huko akajifunze maisha
 
Labda kwa miaka ya zamani ila kwa sasa hivi hizo zote za kawaida sana.
 
Back
Top Bottom