Msaada Tafadhali naomba kufahamu chuo cha mifugo na uvuvi (Livestock Training Agency Temeke)

Todito

Senior Member
Feb 6, 2013
142
500
Wakuu hongereni kwa sikukuu ya Eid.

Husika na kichwa cha habari hapo juu chahusika. Naombeni msaada sana wa kufahamu chochote kuhusu chuo tajwa hapo juu.

Nina ndugu kijijini kachaguliwa hapo ngazi ya Diploma ukoo mzima unanitegemea mim kuwapa jibu la mwisho kuhusu chuo hicho mawasiliano, ubora wa elimu, eneo chuo kilipo na fomu ya kujiunga.

Natanguliza shukrani za dhati member mwenzenu msiniangushe
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,589
2,000
Ukoo unamtegemea mtu mmoja!!!

Mtu akioa kwenye ukoo huu ajiandae kutunza ukoo mzima.
 
sungurason

Member
May 13, 2019
43
95
Subiliii baaada ya wiki tatu watatoaa form zamaelekezoo utajua kila kityu or nichek whtusp0622726502 kwa msaada zaid
Wakuu hongereni kwa sikukuu ya Eid.

Husika na kichwa cha habari hapo juu chahusika. Naombeni msaada sana wa kufahamu chochote kuhusu chuo tajwa hapo juu.

Nina ndugu kijijini kachaguliwa hapo ngazi ya Diploma ukoo mzima unanitegemea mim kuwapa jibu la mwisho kuhusu chuo hicho mawasiliano, ubora wa elimu, eneo chuo kilipo na fomu ya kujiunga.

Natanguliza shukrani za dhati member mwenzenu msiniangushe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom