Handen high school

Handeni high school ipo wilayani handeni mkoani tanga . Kutoka stand adi shuleni ni kilometer 1 tu maana yake shule ipo mjini au wilayan. Walimu wanafundisha vzr sana ata ukiangalia matokeo ya advance mwaka 2016,2017, na 18 . Kiukwel shule ipo vzr sana walimu ni wakutosha ambao wanajitolea kufundisha . Nb tatizo kubwa lililopo Handeni ni maji tu . ila kila kitu ni flesh sana ukitaka msaada zaid nichek kupitia no 0757889442
 
Po

Wadau nisaidieni utaratibu wa kumhamisha au kubadilisha shule kuna mdogo wangu kapangwa shule ya mbali sana alafu ni day school na huko hatuna ndugu
Sasa kumpangisha mtoto kuanzia advance ni risky kitaaluma na pia ni gharama
 
nenda shule unayo taka kumuamishia mtoto, kaombe nafasi ya kumuamishia huyo mtoto...kisha kuna barua utapewa hapo shuleni barua hiyo utaipeleka shule anayohama mtoto....{kwa ufupi utaratibu wote utaupata kwenye shule ulio ichagua atakayoa amia mtoto}
 
Back
Top Bottom