wale walio risit/private candidate wanapangwaga form five na serikali???

karare

Member
Joined
Jun 4, 2019
Posts
31
Reaction score
8
naomba kuuliza kuhusu wale wanaorisit kama private candidate, nao wanapangwa form five na serikali kama watainiwa wa school candidate wanavyopangwa na serikali?
na je, post zao zinarushwa mtandaoni?
 
Ndio, nakumbuka mwaka 2016 walichaguliwa. Ila hawajafika 20 Tanzania nzima. Vigezo sijajua.
 
Back
Top Bottom