Shalom shalom
Licha ya kuwa na elimu duni wanayotoa pia kupata GPA kubwa na kali imekua anasa kwa vyuo vya serikali Tanzania kuliko hata HAVARD na vyuo vingine vikubwa duniani na sababu kubwa...
Elimu ya chuo inamjenga kijana kujiimarisha zaidi katika kile anachosomea, lakini kumekuwa na msomgamano wa masomo mengi ya ziada ambayo kwenye soko la ajira hayatambuliki.
Kwa mfano mwanachuo...
Kuna jambo moja ambalo ninaliona kama changamoto kuu kwa vijana wetu wengi – mindset ya “kusoma ili kuajiriwa.” Hii tabia inatufanya tukwame kwenye foleni ya kusubiri nafasi za kazi ambazo mara...
Habari, Mimi ni Muhitimu WA chuo Taasisi ya watu wazima IAE kampasi ya mwanza nimemaliza Mwaka Jana 2024 lakini toka tumalize Hadi Leo hatujapa AVN na tukihoji wanatoa majibu ambayo hayaeleweka...
Hellw jf,kwa usaili wa online updates tunapata wap maan ni week moja sasa tokea waseme tutajulishwa kwny akaunt zetu na tovuti lakini ni bila bila,hamna kitu.
Matokeo ya Form 6 yametangazwa, lakini kwa wazazi na walezi wa mikoz ya kanda ya mashariki na Kanda ya Ziwa, haya si matokeo ya furaha bali ya mateso.
Kigoma, atavi, Tabora, Kagera, Geita...
Katika kijiji cha Mongola Ndege kata ya Ukonga kuna wimbi kubwa la watoto kutopelekwa shule kwa kisingizio kuwa wamefeli darasa la saba ama kutokuwa na fedha ya kuwasomesha
Hii kero inanikwaza...
Je, ni vyuo vyote vya ualimu wanafunzi wanaosoma diploma in science and mathematics hawapewi fedha za kujikimu maarufu kama MA Kwa wale walioomba mkopo wa HESLB?
Yaani unakuta umewekewa robo ya...
Mimi nafanya kazi za Stationery
Online application
Changamoto wanayokutana nayo Watoto wanaoomba mikopo Elimu ya Juu ni kuhusu suala la mashirika ambayo yanawafadhili kipindi wapo sekondari...
Habari zenu jamani
Mimi nimwanafunzi nilie maliza form four mwaka wa Jana nilimpata division III ya 24 selection zilivyo toka nimepangiwa nikasomee iyo kozi hapo juu katika chuo Cha Korogwe...
Wakuu hili somo la calculus kwangu NI gumu Tu level zangu za elimu sijawahi kulipenda ingawaje najua ni fundamental kwenye ulimwengu wa engineering..kwa wale wanaoweza kulipasua mnawezaje?
Habari wakuu,nishaurini kozi nzuri ya kusomea VETA kati ya zifuatazo au kama kuna nyingine nzuri zaidi mniambie kuna ndugu kaomba nimshauri
- Electronics
- Leather goods and shoe making
- Auto...
"Galanos school penda watoto....twakupenda twakusifu!.." mnaukumbuka huo wimbo?, Headmaster alikua T. Z. KINALA, namkumbuka sana mwl wa michezo Msocha. Tulikuwa tukitoroka tunaenda disco Club...
Ni matumaini yangu kuwa mpo salama kabisa...niwape pole nyingi kwa kumpoteza mwanaharakati nguli, mwandamizi wa Marehemu warumi mwenyezi Mungu ampe pumziko zuri nina imani warumi ametangulia...
Habari za majukumu wakuu nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka huu ana division point 28,kwa masomo ya arts je??naweza kumpeleka veta asome kozi gani ambayo anaweza pata ajira serikalini...
Habari za wakati huu ndugu, jamaa na marafiki humu ndani ya JF.
Mimi ni kijana (22) Nimetoka chuo mwaka huu ila nina nia ya kwenda VETA kuchukua fani yoyote ambayo inaweza kunisaidia. Kwa...
Ni jambo la kusikitisha na la kushangaza kuona jinsi ambavyo Wizara ya Elimu na baadhi ya taasisi zake zimeanza kuingilia kwa nguvu na pupa maandalizi ya mitaala ya vyuo vikuu, ikiwemo hatua ya...