Hapo zamani nakumbuka watu wengi waliepnda kwenda vyuo vya kilimo au kusomea kozi za kilimo
Hali ya sasa imebadilika, ile ari tuliyozoea kuiona imeshuka
Sikuhizi ni herimtu aende chuo cha...
Sisi Wanafunzi wa Chuo cha Mbeya Training College kilichopo Uyole Mkoani Mbeya ambacho kinatoa Kozi 4 ambazo ni Laboratory Assistant, Secretary, Business Operator na Hotel Management.
Mwaka jana...
Mtumishi aliyesoma ualimu anaweza kufanya recategorization katika kozi ya bachelor of science in data management inayotolewa Open University. Naomba wa ushauri wadau
Nina classmates waliowahi kusoma nje ya nchi elimu ya msingi kwa shule za Uganda na Kenya.
Walirudi Tanzania kuendelea na elimu ya sekondari hadi vyuo kusomea IT, HR, Accounting, Law, Engineering...
We really have serious problem at our universities nowdays. Patterns of students available at universities nowdays lack intellectual skills. I think the way they behave reflects the characters of...
The Obvious truth is that a particular method for assuming academic success and making a first class degree in school cannot be applicable to everybody. However, there are specific principles...
Wakuu kwema?
Mimi nina rafiki yangu ni mwalimu wa masomo ya Chemistry na Biology.
Anawezaje kupata scholarship ya kusoma masters? Mwenye uzoefu, anawezaje kupambana kupata full funded scholarship...
Habari za muda huu wanajamvi,
Naomba msaada kwa anayejua wapi mwenge wa uhuru unapohifadhiwa baada ya mbio za mwenge. Mwanangu wa shule ya msingi alinipiga hili swali jana nikawa napepesa macho...
Pia soma - Zaidi ya wiki sasa Mfumo wa Bodi ya Mikopo ya HESLB inasumbua
Bodi ya mikopo mfumo wenu wakuomba mkopo unasumbua sana hasa katika kipengele Cha kuvalidate NIDA number, Kuna muda...
Jina langu kwenye vyeti vyangu vyote ,pamoja na nida linafanana,yan mfano john kulwa sembo,
na taarifa za jina la baba kwenye nida yake pamoja na cheti changu cha kuzaliwa ni Frank kulwa sembo...
Qn1. Rescue plane flies at 198 km/h (" 55.0 m/s) with a constant height h " 500 m toward a point directly over a victim, where a rescue capsule is to land.
(a) What should be the angle f of the...
Mimi, kama mwalimu wa shule za sekondari, ninapenda kutoa maoni yangu kuhusu mtaala mpya wa elimu kuanzia shule ya msingi hadi sekondari. Baada ya kupitia kwa makini, nimebaki na hofu kubwa kwamba...
Habari wana JF
Huu mkondo wa amali unatofauti gani na zile shule za ufundi?
mm nimeona shule za ufundi mapegunzuziwa masomo kama history na geography hivi wajikite zaidi kweny vitendo.
Sasa...
Wakuu natanguliza shukrani kwenu.
Naombeni mnipe tofauti ya hizi KOZI mbili ambazo ni
1.Barchelor of arts in community development
2.Barchelor of community development
Hizi KOZI mbili...
Baada ya kutamatika kwa muhula wa pili wa masomo kwa chuo kiukuu cha SAUT utaratibu huwa ni mtihan ya Special na supplementary za semester ya kwanza kufanyika.
Kwa ratiba ya chuo kuku cha SAUT...
Last week nilikua napitia matokeo ya madogo wa form six kwa Special Schools (Mzumbe, Tabora Boys, Kibaha na Ilboru) lengo ni kuhesabu One za Tatu yaani ni za kutafuta kwa tochi... Nimeambulia...