Kumekuwa na changamoto mashuleni inayohusu chakula wanachokula wanafunzi kuwa na dawa ya kuhifadhia nafaka.
Hii hutokana na utaratibu mbovu wa kuhifadhi mahindi unaofanywa na baadhi ya shule...
Wakuu habari! Naomba maelekezo, nahitaji kupata turnitin software ya plagiarism checking tafadhali. Naona nyingi zipo vyuoni. Ivi hakuna namna ya mtu binafsi kuwa nayo? Natanguliza shukrani.
Ddr ni kozi ambayo haifahamiki sana miongoni mwa watu.
Diploma in diagnostic radiography inatolewa na vyuo viwili tu Tanzania ambavyo ni muhas and cuhas. Ni kozi ambayo degree yake inatolewa na...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha kumbukizi ya mwalimu nyerere(MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY) campus ya kivukoni, nimemaliza diploma mwaka wa masomo 2024/25 lakini mpaka sasa matokeo yangu...
HII NDIO ORODHA YA KOZI ZA BACHELOR ZINAZOPEWA KIPAUMBELE KUPATA MKOPO WA HESLB MWAKA 2025
Kundi la Kwanza (Kipaumbele cha Kwanza)
Education in Science Subjects: Physics, Chemistry, Biology...
"Habari, Kuna changamoto kwenye mfumo wa wa Nactvet kwa watu wanaaomba AVN.
Waombaji wanakutana na errors nyingi.
Namba zote za simu zilizowekwa kwaajili ya mawasiliano na ofisi ya NACTVET...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, Khalid A.Khalif ameendelea na utaratibu wake wa kawaida wa kuwatembelea wakandarasi kwenye Kandarasi za Miradi ya Maendeleo inayoendelea...
Wakuu poleni na majukumu, hivi kama ulifanya mitihani ya advance mara mbili mara ya kwanza ulipata D moja na mara ya lili ukapata D ya pili chuo ume combine matokeo sasa upande wa kuapply mikopo...
Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o...
Kwa wale waliosoma ama waliowahi kufika Chuo kikuu cha Dodoma, hasa college ya social na Humanities, utaona wamama wengi na wazee wanazagaa kwenye milango cha cafeteria wakiwa na watoto wadogo...
Kwanini Shule nyingi za Makanisa zinaongoza kufanya vizuri kuliko za Serikali japo watu wanadharau watu wanao shika dini
Watu wengi hudharau wale wanaoshika dini wakidhani hawana nafasi katika...
Kujifunza kitu kipya ni rahisi, lakini kukikumbuka kwa muda mrefu mara nyingi ni changamoto. Wanafunzi, watafiti, na hata wafanyakazi kazini mara nyingi hukutana na hali ya kusoma kwa bidii lakini...
Kama wewe ni mwanafunzi au mtu unayetaka kujifunza kuandaa research na kuzioffer kwenye majukwaa ya freelancing kama upwork, Fiverr na Linkedin lakini huelewi baadhi ya concepts zinazotumika huko...
Wakuu,
Kuanzia Septemba mwaka huu, Beijing, China itaanza kuwafundisha watoto wadogo kuanzia umri wa miaka sita masomo ya lazima ya Akili Bandia (AI) katika shule zote za msingi
Shule zote...
Inafahamika kuwa kupitia TCU unaweza kusoma kozi mbili kwa intake moja.
Mathalan uchukue bachelor of arts with education na wakati huo huo uchukue bachelor of law.
Ila je kwa mujibu wa NACTE...
Samahani NIDA mimi nilikojiandikisha kabla sijapata kitambulisho cha NIDA nilihama niko MBEYA wilaya ya CHUNYA na nilijiandikisha Dares salaam wilaya ya KIGAMBONI kipindi ofisi za NIDA zikiwa...
Hawa loan board yaani hawapatikani kabisa kutoa huduma na namba walizoweka ukipiga zote hazipatikani hata ukiwafuata katika page yao instagram hawajibu, email hawajibu, yaani kumekuwa na mazoea...
Shule za msingi Njombe Mjini (sio zote) zimekuwa zikitoza hela ya mitihani kwa wanafunzi wake elfu 5 hadi elfu 10 kwa mtihani mmoja kila wiki na kwa wale wanaochelewa kulipa walimu na wakuu wao...