Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habarini wana JF : Kuna dogo apa amemaliza F4 last year ,alkua anasoma masomo ya sayansi lakin comb hazikubalance akapangwa HKL lakin nliongea naye na tukakubaliana n bora aende chuo moja kwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu jamani Mimi nimwanafunzi nilie maliza form four mwaka wa Jana na nilimpata three ya 24 selection zimetoka mwaka huu nimepangiwa nikasomee uwalimu wa sekondari ngazi ya diploma wa...
1 Reactions
10 Replies
882 Views
Wakuu naomba tumshauri ndugu mmoja ni mwajiriwa (KILIMO) ila anataka kuhama kada na anapendelea kusoma kozi hizi? Swali baada ya kusoma anaweza hamia kada zipi Kwa kozi hizi? BACHELOR DEGREE IN...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za muda huu ,kwa yoyote anayejua ofisi ndogo ya hazina mkoa wa dar es salaam aniambie hipo maeneo gan
1 Reactions
0 Replies
286 Views
Kozi ya ICT ndio nahitaji kuisoma kama kichwa kinavyojieleza...... naomba ushauri juu ya hilo katika maswali yafuatayo 1. Je inawezekana? 2. Naomba kujua ninaweza badilishiwa muundo wa elimu...
0 Reactions
7 Replies
558 Views
Habr Kama kichwa kinavyo jieleza hapo naomba ufafanuzi mzuri kuhusu hivyo vyuo viwili
0 Reactions
7 Replies
420 Views
Mnano agosti 24 2025 kumekuwa a chapisho ambalo linasambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook likieleza kuwa taifa la Nigeria ndio taifa ambalo limeelika zaidi huku likifuatiwa na mataifa...
1 Reactions
4 Replies
406 Views
Habarini nyote.... Nilikuwa natafuta tu clarification kwamba naweza omba chuo kikuu pindi dirisha litafunguliwa hali ya kuwa nipo chuo cha kati na niliweza kusoma advance na kufaulu division II...
1 Reactions
5 Replies
415 Views
Kuna matukio fulani hutokea kwa namna pekee ya kushangaza na mengine huwa ya kufurahisaha zaidi hasa katika jukwaa letu hili pendwa la ELIMU. Napenda sana kuhudhuria jukwaa hili na ' ITAPENDEZA...
118 Reactions
749 Replies
140K Views
Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa Mwongozo mpya unaopiga marufuku Viongozi wa Serikali na viongozi wa Kisiasa nchini humo kutunukiwa Shahada za Heshima (Honorary Doctorate). Agizo hilo...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Unatafuta mfumo bora wa kidigitali wa kusimamia shule yako? AcademiazSoft ni jibu sahihi kwa shule za kisasa zinazotaka uwazi, ufanisi na taarifa sahihi kwa wakati. Tunatoa: ✅ Usimamizi wa...
0 Reactions
2 Replies
211 Views
Hujambo ndugu mwana JF. Karibu AcademiazSoft. RAhisisha na kuboresha namna ya uendeshaji wa shughuli zako za kila siku shuleni kuwa kisasa zaidi. Mfumo wa wa kidigitali wa AcademiazSoft, unakupa...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Anonymous
Chuo cha Taasisi ya elimu ya watu wazima (IAE) kimekuwa na changamoto ya kuto kutoa AVN Number kwa wahitimu wake toka Mwaka wa masomo 2023/2024 na hakuna majibu mazuri yanayotelewa wakiulizwa.
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Habari zenu wakuu. Naombeni msaada wa ushauri kuhusu kozi hizi mbili, Bachelor of science in physiotherapy na Doctor of medicine (MD) Ipi iko vizuri zaidi. Ni ndoto ya kila form six leaver...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika shule nyingi, hasa za msingi, kumeanzishwa utaratibu wa kutoza michango ya kila siku kwa ajili ya mitihani. Kila siku michango hiyo hutozwa kuanzia Shilingi 300 hadi 1,000 kwa kila...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Anonymous
Walimu waliohamishwa tangu Januari 2024 Wilayani Kiteto hawajapewa fedha ya usumbufu wala kujikimu, tunaomba mamlaka iingilie kati.
0 Reactions
1 Replies
236 Views
Repeated thread: wakuu anayejua structure ya interview ya tutorial assistant mfano biology teaching methods kwa DUCE. Atujuze.
1 Reactions
1 Replies
302 Views
Wakuu nimerudi na uzushi tena🤣🤣🤣 Saivi ni Kwa wale wasomi wenye 25+yrs 🤣 SWALI NI; Je unajutia kusoma profession uliyosomea? Kama ungepewa nafasi ya kuchagua tena ungesoma kozi ipi 🧐?? 🙏🙏...
3 Reactions
9 Replies
647 Views
  • Poll Poll
Mimi nimwajiriwa Nina stashahada ya Ualimu (physics & mathematics) nataka kwenda kusoma mwaka huu course ya TEHAMA, Wakuu naomba kujua utofauti wa course ya bachelor in computer science Na...
2 Reactions
5 Replies
860 Views
Wakuu salaam! Naomba kwa anaejua atanabaishe hints za interview za chemistry/biology/physics teaching methods kwa tutorial assistant interview kwa chuo kama DUCE. Uwa wanauliza nini zaidi? Je...
1 Reactions
3 Replies
453 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…