Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari za mchana wananzengo Mito, Mifereji na vyanzo vingine vya maji hutiririsha maji yake kuelekea baharini Naombeni kuuliza, ni kwanini bahari haijai?
4 Reactions
101 Replies
10K Views
Hi bosses, Nimemaliza diploma ya clinical medicine 2011. Sasa na-plan kupiga shule this year, ila kuna kitu kinanitatiza with regards to GPA inayohitajika wakati wa admission. Ile paper ya...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Jamani yeyote mwenye link ya kuvipata vitabu mbalimbali ya Physics kwa class 12/ form six na vinginevyo atusaidie mana kuna link niliona humu mwezi uliopita ka sijakosea Ila saivi sioni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
664 Views
Habarini za muda wana jamvii kama kichwaa cha habari kinavo jieleza hapo juu kuna tofauti gani wa ubora wa Elimu unaotolewa chuo kikuu cha kilimo morogoro SUA na ile inayotolewa chuo kikuu cha...
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Hili lifike mahala husika.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Utaratibu huu ambao ndio kama sera ya vyuo vikuu vingi nchini kiliwemo Chuo Kikuu cha Dar -es-Salaam, sio tu umepitwa na wakati, bali pia haufai kwani unachangia vyuo kuwa na walimu ambao...
26 Reactions
90 Replies
12K Views
Salamu kwenu wakuu, Kuna kijana amepata D ya physics, C ya biology na Chemistry na math kapata F, jumla ana Division 2. Je, huyu course za Afya vyuo vya serikali au binafsi anaweza kukubaliwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, habari ? Mi napenda tusaidiane kuhusu course ya Bachelor of philosophy with education (inatolewa SAUT-Mwanza) -what next kwa atakae-graduate first degree ya hiyo course? (Betterment...
0 Reactions
2 Replies
799 Views
Waalimu naomba mnisaidie hii, Ratiba ya mwaka inaonesha ni tarehe ipi shule za serikali zinategemea kufungwa kwa likizo hii ya June 2021 na tarehe ya kufungua pia...?
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari wakuu, Nataka kujua gharama za ada na michango mingine kwa mtu akichaguliwa toka Form Four kwenda chuo ni zipi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamii msaada naitaji heading kwa ajili yakuandika project
0 Reactions
1 Replies
620 Views
Nchi jirani ya uganda kwa wenye diploma kuanzia gpa 2.7 wanaweza kuomba kujiunga na vyuo vikuu lakini tanzania tumeweka gpa 3.0. Hata nchi za ng'ambo kama malaysia china na zingine wanakubali...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Hello Habarini za wanajamii forum? Nahitaji kusoma degree ya Bachelor of science in Energy Resources Open University kwa anaefaham namna ya usomaji wa masomo ya science katika chuo hiki anisaidie...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za Leo ndugu na marafiki. Leo nitaelezea hatua za kufuata wakati wa kufanya maombi ya full funded scholarship ya kusoma nje ya nchi. Basi ili walau kupata mwanga wapi pa kuanzia fuatana...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Karibuni jamani mchangie mawazo yenu kuhusu hii mada mtu anaweza akaendelea kuchukua boom Kama ameacha chuo lakini Bado hakufuta usajili wake katika chuo chake.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kumekuwa na tabia chafu ya kuweka mazoea mabaya na wanachuo kiasi kwamba walimu wanapokea pesa ili kuwafaulisha wanachuo na watoto wa kike baadhi yao wanalazimika kujitoa miili yao. Hii imezoeleka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za majukumu wana Jf, Naomba msaada kwa mtu aliyesahau password za NACTE.
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Habari wana jukwaa, Mwezi July namaliza bachelor degree yangu nikiwa nime specialize kwenye physics. Natamani nikimaliza nipate scholarship ya kwenda nje nikasome material physics. Naombeni...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…