Msaada : Namna ya kupata password za NACTE baada ya kusahau

uncle Bk

Senior Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
165
Reaction score
83
Habari za majukumu wana Jf,
Naomba msaada kwa mtu aliyesahau password za NACTE.
 
Katika e-mail yako uliyoambatanisha kipindi unafanya application
 
Kama umesahau wasiliana nao kwa simu ila hasahasa nenda ofisi ya kanda na vitambulisho vyako mapema wanaweza kukusaidia kwani mwaka jana kuna mmoja alisahau password yake akawasiliana na ndugu yake pale Dar aende NACTE na aliweza kupata hiyo password kupitia huyo ndugu.
 
Ingia kwenye profile yako, wakti unaweka password Kuna sehemu imeandikwa 'forget password' bonyeza hapo!! Kisha itafunguka inakuambia uweke code uliotumiwa wakati umefanya malipo! Unaingiiza kixha unawka password mpya!
Simple tu ivyo yani
 
hasa kwa wale tulio apply kwa vyuo vingine kama udsm, udom na saut kwa ngazi ya diploma inakuaje????
 
Nimesahau password yangu ambayo nilipewa muda na jiunga na award verification system msaaada please
 
Kama umesahau wasiliana nao kwa simu ila hasahasa nenda ofisi ya kanda na vitambulisho vyako mapema wanaweza kukusaidia kwani mwaka jana kuna mmoja alisahau password yake akawasiliana na ndugu yake pale Dar aende NACTE na aliweza kupata hiyo password kupitia huyo ndugu.
Ni vitambulisho gani vinahitajika
 
Ingia kwenye profile yako, wakti unaweka password Kuna sehemu imeandikwa 'forget password' bonyeza hapo!! Kisha itafunguka inakuambia uweke code uliotumiwa wakati umefanya malipo! Unaingiiza kixha unawka password mpya!
Simple tu ivyo yani
Hio code nayo ukiwa umesahau sasa😥
 
Back
Top Bottom