Walimu Paradigms institute Dar acheni mazoea na wanafunzi

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Kumekuwa na tabia chafu ya kuweka mazoea mabaya na wanachuo kiasi kwamba walimu wanapokea pesa ili kuwafaulisha wanachuo na watoto wa kike baadhi yao wanalazimika kujitoa miili yao.
Hii imezoeleka kiasi kwamba hakuna anayeshtuka.

Mmiliki waangalie sana hao uliowapa dhamana wanaharibu sana taswira ya chuo chako
 
Hao wanafunzi watakutana na moto wa baraza, watakiona cha mtema kuni
 
Back
Top Bottom