KIJANA WANGU AMEHITIMU KIDATO CHA SITA NA KUPATA DIV II NAOMBA USHAURI KOZI IPI NZURI KATI YA HIZI ACHUKUE
AMESOMA HKL
(a) Bachelor Degree in Shipping and Port Logistics management
(b) Bachelor...
habari wana JF,
Nina swali ambalo watu wengi wananiuliza, kwamba je kwa wenye average ya D kwenye matokeo ya darasa la saba, wanaenda Form 1??
Naombeni msaada
Factors of production refers to the resources that are directly used in the production of goods or services for the aim of making profit. In economics, there are four major factors of production...
Awareness About Road Weighbridges and Road Regulations Is a Must to These Directly Involved Stakeholders.👇
1. Transporters/Trucks Owners
2.Transport Officers
3. Drivers.
This Will Help in One...
Habari zenu. Natumaini wote ni wazima wa afya.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mm nimehitimu kidato cha nne mwaka 2021 shule ya serikali katika wilaya ndogo sana hapa nchini.
Ni shule...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Prof. Said A. Mohamed ametangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2025 leo tarehe 5 Novemba, 2025 Jijini Dar es Salaam. Matokeo...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Oktoba 24,2025 imetoa awamu ya kwanza ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 135,240. Idadi hii inajumuisha wanafunzi...
Wadau natanguliza shukrani zangu za awali. Najaribu kuapply postgraduate UDOM cha ajabu system hairespond kabisa na hapo deadline ni 30th August.
Unapiga help desk hawapatikani na wachache...
Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii...
Nakumbuka enzi hizo ugali tuliita ngunga(gima) wali uliitwa bee. Ugali ulikuwa ukilala kesho take unakuwa mweusi kama udongo was mbuga. Maharage yenye funza weupe na weusi yalinogesha mlo...
Wanafunzi pamoja na jamii huamini kwamba mwaka wa uchaguzi, mitihani huwa rahisi au matokeo huboreshwa ili kuvutia wapiga kura.
Je, hii ni kweli? Au ni kasumba isiyo na ushahidi?
Wengine huamini...
Habari zenu wakuu,
Leo tunajadili swali moja kubwa: Je, ili kufanikiwa ni lazima umalize chuo?
Tukiangalia orodha ya matajiri wakubwa duniani, tunagundua jambo la kushangaza – wengi wao walitoka...
Short history;
Azania secondary school is among the oldest schools in the country, started to operate in the year 1933. This means it is now 88 years old (2021). Formally the school was owned by...
Marketing segmentation is an essential tool in marketing used by the marketers to make investments decision.
WHAT DOES IT MEAN? Marketing segmentation is the process of dividing(segment) market...
Habari za jioni wapendwa.ninatumaini nyote mpo salama.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.naombeni msaada wenu tafadhali.Mahali pawe ni Arusha.
Ninatanguliza shukrani za dhati🥂.