Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu habarini za wakati huu, kuna swala limenishtua sana, na sidhani kama ni jambo la kulifumbia macho kwa serikali. Suala la Elimu hasa maeneo ya vijijini limetupiwa mgongo na serikali. Shule...
1 Reactions
14 Replies
353 Views
Najua vijana wengi wa kitanzania hasa wa umri kuanzia miaka 17 na kuendelea, huwa tunapenda sana kujifunza fursa mpya zinazotokana na maendeleo ya sayansi ya teknolojia. Kwa sasa ukiangalia...
1 Reactions
2 Replies
387 Views
Habari zenu. Ndugu zangu nilikuwa na uliza kama Kuna mtu yoyo anaijua center yoyote ya kujisajilia kufanya mtihani wa form six Kwa mlandizi ani ambie
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Wasiojua Kiingereza na wana Elimu ambayo wameipata kwa lugha ya Kiingereza watakuja na utetezi wao kuwa Kiingereza ni utumwa, mara Elimu si lugha, mara utawasikia Wachina mbona wana viwanda...
2 Reactions
5 Replies
206 Views
Tafadhali rejea kichwa cha "thread" hapo juu.
3 Reactions
13 Replies
1K Views
No greetings kwa Leo, Nina hasira sana! Nadhani dhana ya utumishi wa umma iendane na uwezo. Unaweza ukasema ni kosa dogo lakini Kuna watu wamepewa madeni yasiyo Yao kwa uzembe wa namna hii. Kosa...
1 Reactions
5 Replies
811 Views
Habari za muda huu ndugu wana jukwaa. Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo; Physics- D Chemistry- E Advanced...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu zangu naombeni msaada Nina mtoto anaingia darasa la pili 2026. Sasa baba yake analazimisha mtoto aende shule ya kulala bila sababu za msingi na huku Sheria hairuhusu. Nipo hapa kuomba mtu...
2 Reactions
2 Replies
228 Views
Habari wadogo zangu Kwa wale waliomaliza mwaka huu waliosoma PCB &PCM naomba niwaelezee course ambazo zinahuitaji mkubwa sana Kwa upande wa afya serikalini Mimi ni mtumishi wa afya nitakushauri...
9 Reactions
35 Replies
4K Views
MJADALA WA ELIMU NA UDINI TANZANIA Adui wa Waislamu ni utamaduni wa kiarabu wa Ghuba  Ukristo, ama Uislamu na serikali si tatizo katu! Na Mobhare Matinyi, Washington DC Naomba...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Anonymous (4517)
Naomba ujumbe au andiko langu lifike kwa Viongozi wanaohusika, binafsi hali yangu ya maisha ya chuo itakuwa mbaya sana, mimi ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma nasoma Shahada ya Uuguzi na...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Habari za mda wakuu? Napenda kuuliza vigezo vipi vinatakiwa kujiunga na mitiani ya bodi ya ununuzi na ugavi kwa mtu mwenye elimu ya kidato cha nne ? Anaanza na hatua ipi? nawasilisha kwa msaada zaidi
1 Reactions
7 Replies
375 Views
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeona taarifa potofu kupitia mtandao mmoja wa kijamii kuhusu kutokufungua shule Januari, 2026. Tunapenda kuutaarifu umma wa watanzania na wadau wote wa...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Haya wenye Akili karibuni mtuchambulie ila ninachokijua na nilicho na uhakika nacho 100% ni kwamba 75% ya waliomaliza Vyuo Vikuu nchini Tanzania wana Lower Second Class GPA na wachache sana wana...
4 Reactions
64 Replies
2K Views
Dr. Jakaya Mrisho Kikwete has re-appointed Prof. Bonaventure Sylvand Ishengoma Rutinwa to the position of Deputy Vice Chancellor - Academic from 2021/2022 to 2024/2025 effective from 1st December...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Pakua vitabu Kwa ajili ya mwañao Thanks
7 Reactions
16 Replies
24K Views
Habari Wana Jamiiforum, naomba mpokee salamu za msimu wa sikukuu, hususan Heri Christmas na Mwaka mpya 2026. Niwaombe mpate nafasi ya kupitia mambo haya machache muhimu ya kuzingatia unapochagua...
1 Reactions
1 Replies
157 Views
Wakuu salamu! Hii video ina uhalisia wowote na elimu zitolewazo vyuoni tunamosoma? Umeelewa nini kwa kuitazama video hii kuhusu elimu ya chuo kikuu hasa kwa vyuo vyetu vya kitanzania?
1 Reactions
1 Replies
367 Views
Kama ilivyo kwenye heading naomba msaada huu. Nahitaji kujua iwe shule ya serikali ya kwenda na kurudi ila iwe na hostel jijini Dar es salaam
3 Reactions
7 Replies
247 Views
Naomba anayejua shule jijini Dar ambayo ni kutwa ila inazo hostel ndani ya eneo la shule iwe hostel ya wasichana. Asante
0 Reactions
2 Replies
206 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…