Tatizo la upungufu wa matundu ya vyoo katika shule za Manispaa ya Shinyanga, limeendelea kuwa changamoto inayotishia afya na ustawi wa wanafunzi, huku baadhi yao wakilazimika kujisaidia vichakani...
Licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa na serikali katika kuwekeza na kuboresha sekta ya elimu nchini, hali halisi bado inaonyesha uwepo wa pengo kubwa la miundombinu.
Katika Halmashauri ya...
Naomba kuuliza Wizara ya Elimu na TCU, imekaaje kuhusu kutofungwa kwa vyuo wakati wa El Niño, wakati wanafunzi wa shule za msingi hadi kidato cha sita wamefungiwa shule?
Naona hili linaweza kuwa...
Tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto inayowakabili wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Tawi la Mkoa wa Songwe, kuhusu ucheleweshaji wa kuwekwa kwa matokeo kwenye mifumo...
Hali ya vyoo katika Chuo Kikuu cha UDOM, hususan katika College of Natural and Mathematical Sciences (CNMS), imezidi kuwa mbaya kwa kiwango kinachotia wasiwasi mkubwa. Kwa zaidi ya mwezi mmoja...
Nilihitimu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Mwaka 2025 katika Shahada ya Bachelor of Science in Telecommunication Engineering, kero yangu ni kuhusu fedha za overpayment ambazo tulipaswa kurejeshewa...
Nimehitimu shahada yangu katika Chuo Kikuu cha Mzumbe mwaka 2023. Mwezi Novemba mwaka huo huo, nilipata admission ya kuendelea na masomo ya uzamili (Master’s), lakini sikuweza kuripoti chuoni kwa...
Wanafunzi na wahitimu wa Chuo Kikuu cha Iringa tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu ongezeko la gharama zinazotozwa wakati wa kuchukua vyeti, ambazo kwa sasa zimekuwa mzigo mkubwa kwa...
Chuo hakijawasilisha matokeo kwa NACTVET, hali ambayo imesababisha kuchelewa kwa upatikanaji wa AVN number inayohitajika kwa ajili ya kujiunga na ngazi ya Shahada (Degree).
Wakati huo huo...
Mamlaka za Elimu ya Juu nchini kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, NACTVET, TCU na HESLB, tunaomba muingilie kati suala la wanafunzi wahitimu wa Diploma ambao mpaka muda huu hatuoni...
Habari wana JamiiForums,
Nilisoma National Institute of Transport (NIT), Diploma in Civil Engineering. Wakati wa application mwaka 2020 nilichagua NIT na DIT, lakini nilichagua na kujiunga NIT...
Kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), kuna changamoto ya kupata Award Verification Number (AVN) Kwa Wanafunzi waliohitimu Diploma
AVN ni Number inayotolewa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi...
Changamoto ya kutowasilishwa kwa matokeo ya NACTVET haikabili vyuo hivyo pekee. Hata katika Chuo Kikuu Huria, kuna wanafunzi ambao wamekaa zaidi ya miaka miwili bila kuwasilishiwa matokeo yao...
Habari, mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Matokeo ya mwaka huu yametoka, lakini kwa baadhi yetu yamewekwa kwenye mfumo kama “withheld”, licha ya kuwa tumekamilisha malipo yote ya...
Habari wana jamvi wa JF...
Leo tumeanza maadhimisho ya jubilei ya miaka 100 (1926 - 2026) ya Shule ya Sekondari ya Tosamaganga. Maadhimisho haya yameanza leo tarehe 08/10/2026 na kilele chake ni...
Kwa sahivi kuna lundo la course zinatolewa ambazo hazina tija na nyingi zinatakiwa kufutwa, zinatakiwa zihamishiwe kwenye masters na phd sababu ni kama zinatolewa na vyuo kwa ajili ya kupata faida...
Habari zenu, ndugu zangu wanafunzi.
Ninaomba nirejee suala hili kwa mara nyingine, nikitumaini kwamba sasa nitaeleweka vizuri. Naomba mnipatie nafasi nieleze kwa kina kuhusu mabadiliko ya gharama...
Habari za leo?
Kwa miaka zaidi ya 13 nimekuwa memba ndani ya JF nimeona na kupata msaada mkubwa wa mawazo toka kwa memba wenzangu asanteni sana.
Kuna kijana wangu wa kiume amemaliza kidato cha...
Habari za muda ndugu zangu.
Binafsi nimewiwa sana kujiendeleza kwa kusoma Masters katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University) kwani mbali na ubora wa elimu inayopatikana napo na...