Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nimeona hadi wana screenshot eti mtoto kapata 1 ya 14. Hivi wanaijua NECTA ya f4 au 6?
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari wakuu nilikua naomba kujua kozi ya B. Com in Human Resources Management vs B.com in Marketing znahusiana na nini na ipi iliyo marketable kidogo? Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
5 Replies
859 Views
Habari za wakati huu wakuu.. Naomba msaada wa namna ya kuweza kupata scholarship za master's degree abroad Yeyote anaefahamu au mwenye experience si vibaya ukishea nasi wengi wajifunze...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kanisa la Anglican Tanzania ambao ndio wamiliki wa shule ya Sekondari Bunda Girls iliyopo wilayani Bunda mkoani Mara fanyeni uchunguzi wa kina kuhusu shule yenu. Kwanza ni tatizo la uongozi, mkuu...
3 Reactions
1 Replies
928 Views
Habari wakuu Mo scholarships hii ni fursa ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Mo Dewji kupitia taasisi ya Mo Foundation, ufadhili huu ni kwa ajili ya malipo ya ada, malipo ya awali ya chuoni...
2 Reactions
67 Replies
6K Views
Nakumbushia tu. Hii inamaana kubwa Kwa taifa
1 Reactions
3 Replies
797 Views
Habari, Mimi napenda kujua utaratibu sikuizi wa utoaji vyeti upoje? Zamani mtu upo kigoma umesoma dar unatuma barua ya maombi ya kutumiwa cheti chako kwa njia ya posta unakipata sikuizi shida...
3 Reactions
6 Replies
801 Views
Hello Tanzania! Habari unayo trend huko kwenye magazeti ya Kimataifa Ni kuhusu lugha ya kingereza kufanywa ndio ligha rasmi na ya lazima ya kufundishia kwa Ngazi Zote za Elimu hapa Tanzania. Je...
5 Reactions
59 Replies
4K Views
Somo la Physics, somo la Physics. Je, Tz hatuna walimu wabobezi kwenye hili somo amaa ni somo gumu sana? Nakumbuka mimi pia nlivyokua nafanya mtihani wa physics, kidato cha sita, niliteseka sana...
10 Reactions
50 Replies
5K Views
Habarini wakuu, Kuna ndugu yangu anatafuta shule ya english medium au private ya bei nafuu kwa ajili ya watoto wake walioko darasa la 3,4 na 5. Shule iwe Mwanza maana ndiko anakoishi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, Natafuta shule nzuri private ya secondary iwe day. Pia mwenye contact namba za shule inaitwa Christ the king sec school na Mwenyeheri Anuarite sec school. Namba walizoweka mtandaoni...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nauliza hivyo maana kila mwaka hili somo huongoza kufelisha students. Je nikitaka kupata overall performance ya Physics nifanyeje?
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Hivi vitoto mda mwengine vinakasirisha sana.ukimueleza unatakiwa kupitia hivi basi analeta uchuo uchuo wake unatamani kukazapa vibao. Vijana wengi waliopo vyuo ndoto zao wanaamini kuajiliwa...
4 Reactions
11 Replies
962 Views
Mimi labda sijaelewa. Unakuta shule ya msingi A, ina wanafunzi 123 waliomaliza darasa la saba na wamafaulu wote kuingia kidato cha kwanza mwaka 2023. Cha kushangaza wanafunzi wote wa hiyo shule...
12 Reactions
42 Replies
4K Views
UFUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA SEKOUTURE - JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI UGUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI, MBUNGE IGHONDO ATAJWA KINARA WA UTATUZI WA CHANGAMOTO YA ELIMU JIMBONI. Mnamo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi inawezekana kwa mtu kusoma MD kwa GPA ya 2.7 ya clinical officer nchini Tanzania...? Kama inawezekana taratibu zipi nifate, maana kuna watu nasikia wanasoma MD na GPA below ya 3
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwonekano wa Ujenzi wa Shule mpya maalum ya Sekondari ya Bweni na sayansi ya Wasichana katika Mkoa Ruvuma kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita iliyosajiliwa rasmi kwa jina la Dkt. Samia Suluhu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Je, naipata wapi chemical hii? na kuna uwezekano wa kuiandaa katika maabara za mashuleni?
0 Reactions
7 Replies
544 Views
Natanguliza salamu nyingi wanajamvi,na shukrani kwa Mungu kwa uzima na afya tele kutujalia kuuona mwaka mwingine pamoja. Naomba kujua kuhusu swala husika...kwa upande wa NECTA na NACTE,wanachukua...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Sorry wanajf naomba kujua ATEC ni nini? Na inatofautiana vp na CPA
0 Reactions
32 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…