Msaada scholarship za Master's Abroad

Msaada scholarship za Master's Abroad

mozeh

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2022
Posts
493
Reaction score
963
Habari za wakati huu wakuu..
Naomba msaada wa namna ya kuweza kupata scholarship za master's degree abroad
Yeyote anaefahamu au mwenye experience si vibaya ukishea nasi wengi wajifunze
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sina experience ila fanya mchakato upate kile cheti cha IELTS kitakusaidia sana. Karibia 95% ya vyuo wanakihitaji.
 
Ni ngumu sana scholarship bila kufaulu
Mitihani ya Kingereza
 
Halafu wadau Hivi hakuna mtu anayefahamu vyuo/mahala wanapotoa scholarships za masters iwe ndani au nje ya nchi kwa upande wa accounting, economics or finance related degrees?
 
Back
Top Bottom