Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

sijui mchanganuo wa BSE mkopo wangu ni 4183000
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Juzi nilikuwa na machungwa 20 yakiwa ndani ya mfuko na niamua kuwagawia watoto 20 kila mmoja chungwa moja moja. Cha ajabu kila mmoja alipata chungwa moja lakini moja nikabaki kwenye mfuko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anaeijua please naomba unipe,au nipe link ili nami nipate kusoma nimetafuta sana mpaka nimechoka
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Enzi zile zakukariri mashairi Hebu tujikumbushe hili shair,kwa kweli kama hukulipenda sijui ulipenda lipi,lipo relevant kwa nchi yetu By Henry Barlow Today I did my share In building the...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wadau kwa loan iliyotowela hata vyuoni wameandika batch namba 1,je kuna hizo batch nyingine zitakuja? Ambao majina yetu hayajaonekana tuwe na moyo na hilo la batch nyingine?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani bodi ndo imeamua kutuchunia sisi tuliokosa loan mana kulikuwa na tetesi kuwa ifikapo tar 1 mwez wa kumi wangetoa nafasi kwa wale waliokosa loan kwa priority facult kuomba tena lakin bado ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Chuo cha maafisa ugani Naliendele - Mtwara, moto kinateketea kwa moto muda huu. Nimearfiwa na mwanangu anayesoma huko. Walio Mtwara watupe maendeleo ya hali hii tete.....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahani lakini, eti coarse ya bachelor of commerce in international business ina field mwaka wa kwanza??????/
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale first year mlioachaguliwa st john tembeleeni website ya chuo muone allocation ya mikopo yenu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
vp jamani mambo hayajavuja bado?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
nimechaguliwa kujiunga na bsc in it pale ifm,ckujpng kwa ajil ya hyo kozi so hata mkopo ckuomba c mnafaham walichofanya tcu kwa baadh ya watu!!nahtaj n postpone mpaka mwakan ili niombe mkopo tu na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi tumetembea kuona hali ya vio vikuu vya Tanzania jinsi vilivyo???? :nono:
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mlioko dsm na mliomba mkopo bodi lakini hamkupata au majina yenu hayakutoka mmefuatilia bodi wanasemaje?
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Kwa msichana yeyote ambaye amechaguliwa kwenda Ardhi University tafadhali aniPM.Tuongee vitu flani.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau Bodi ya mikopo kwenye matangazo yao pale ofisini walisema siku ya leo tarehe 1 October wataweka maelezo jinsi ya kukata rufaa kwa waliokosa mikopo. Lakini mpaka muda huu kwenye tovuti yao...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hbr jf,naomba 2tumia elimu zetu za a/c kuchambua courses za baaf ya muccobs ambapo mm ni mwanafunz mwaka wa kwanza,pls pale penye mapungufu utoa kwa detail na penye kusifia pia hivyo hivyo,karibun...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ivi deadline ya kuripoti kwa first year SAUT ni lini? Maana mm nilichaguliwa uko bila ya kujua na mkopo wng umepelekwa uko uko.na kwa sasa nishalipia cost zte za udom, uku nasubr tcu watangaze...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Samahani wadau naomba kuuliza kama naweza kuamisha mkopo kutoka chuo kimoja kwenda kingine,sababu nimechaguli vyuo viwili na mkopo nimepelekewa chuo nisichokipenda,nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
​ sijui mchanganuo wa BSE mkopo wangu ni 4183000
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Naomba ushauri wana jamii forums niko kazini kama mwalimu na ndo nimemaliza shahada ya ualimu nimeapply upolisi na nimeitwa kwenye usaili unaoanza jumatatu. Nahitaji ushauri nisije kurupuka...
0 Reactions
89 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…