Bodi vipi jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi vipi jamani?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by TEBOGO, Oct 2, 2012.

 1. T

  TEBOGO Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jamani bodi ndo imeamua kutuchunia sisi tuliokosa loan mana kulikuwa na tetesi kuwa ifikapo tar 1 mwez wa kumi wangetoa nafasi kwa wale waliokosa loan kwa priority facult kuomba tena lakin bado ni kimya.pia ni lin watatoa Batch nyingine ya loan naomba mnifafanulie wana JF mana chuo ndo nisharipoti na nishaanza masomo na any time watataka tuition fees
   
 2. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mkuu we acha tu yaani hawa jamaa hawaeleweki kabisa.
   
 3. Q

  Q700 Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Loan bongo? Saau ilo,..jipange tu..
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  ina maana umesajiliwa bila kulipa ada man?
   
 5. rayman m

  rayman m Senior Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Sasa umesajiriwa vip kama hujatoa ada hata kidogo?
   
Loading...