Wa udom.

KIJAMBO

Member
Sep 3, 2012
30
5
Samahani lakini, eti coarse ya bachelor of commerce in international business ina field mwaka wa kwanza??????/
 
wanafunzi wote wanaosoma course za bcom pale udom wanaenda field mwaka wa pili yaani inshort kwa wanaosoma colege of humanity and social science udom field yao ni mwaka wa pili
 
Back
Top Bottom